Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Ni hivi siwezi kuishi kwenye Kansa,Kwa albino na kwenye mabanda ya nguruwe huko Mwanza..

Ukiona nimekuja Mwanza ujue nakuja Kwa mishe za kazi na hela nothing else sawa wewe kima..

game over Sweet Mbeya [emoji116]
Usituwekee uchafu kutujazia sever bure
 
Nani aje Huko kwa wasukuma nyie hata mkiona sink za kunawia mikono nyie mnaenda kukojoa hapo why hamtofautish vitu
Pumbau wewe, wasukuma wameshachukua wilaya zenu mbili za Chunya na Mbarali na sasa wao ndio madoni huko wamewafundisha kufunga, kulima na kuchimba dhahabu. Tunawapa miaka kumi tu mbele maeneo hayo yanaingia rasmi kwenye sukumaland.
 
Wananuka kwenye magari,Wana mafunza kigumu na limji lao linanuka shombo ya samaki Kila sehemu [emoji23][emoji23]
Wivu utawaua, hiyo Rocky City siyo size yenu Mbeya. Nyie size yenu ni Kahama na Tanga huko. Ndio maaana mkuu wa nchi kwa mwaka anaweza tembelea hiyo city hata mara tatu kwa mwaka. Tena ukome kabisa kufananaisha kijiji chenu Mbeya na Jiji la Mwanza.
 
Wivu utawaua, hiyo Rocky City siyo size yenu Mbeya. Nyie size yenu ni Kahama na Tanga huko. Ndio maaana mkuu wa nchi kwa mwaka anaweza tembelea hiyo city hata mara tatu kwa mwaka. Tena ukome kabisa kufananaisha kijiji chenu Mbeya na Jiji la Mwanza.
Inakuja jijini watu wanapiga daladala na mabaiskeli 🤪🤪🤪 Mwanza ni hovyo sana Hadi aibu
 
NI bahati mbaya kwamba huu uzi umeingiliwa na kutawaliwa na ushabiki ambao hauwezi kutusaidia sana. Nilitamani mjadala ujikite kwenye hoja za mleta mada, kwa lengo la kuwasaidia wafanya maamuzi ili kuiboresha Mbeya yetu. Kukataa kwamba hakuna tatizo hakulifanyi liondoke. Green city stand up!!
 
Hawatakuekewa, shauri ya kula bangi toka utoto
 
Tatizo ni akili mbovu za choice variable yeye arguments zake lazima aingize ulinganifu wa miji. Huyu akili yake ilishaharibika mda mrefu. Mfano jf ana akaunti tatu 😀😀😀😀
 
Mimi si mkazi wa Mbeya, ila hupita mara kadhaa kwa mwaka. Nikisikia mtu anauchamba mji fulani kwa ubaya, huwa napenda kujua kwenye huo mji ambao wewe waishi umefanya jambo gani la kujivunia? Au unafurahia kazi za wenzako. Mji haujengwi na yule, unajengwa na wewe. Usiinue mabega kwa kazi za wenzako.
 
Mbeya ni jiji linalovutiwa na watu wengi Sana kama hilivyo Mwanza Arusha dar tanga ....

Kama umeishi mbeya swala la misosi NI bwelele ,,,,
Kama umeishi mbeya swala la mavazi sio Viatu nguo ni cheap Sana,
Kama umeishi mbeya swala la usafiri kufika dar NI Wewe Tu MDA wote usafiri hupo treni ndege gari.

-Mbeya kuna udongo wenye rutuba Sana

-Mbeya kuna madini makaa ya mawe, dhahabu nyingi.
Mbeya

-Mbeya kuna beach nzuri pwani ya ziwa Nyasa wilaya ya kyela na Hali ya hewa inafanana na dar.

-Mbeya mjini imepata pia bahati njia zake za mitaa nyingi kutengenezwa Kwa Rami

-Huduma za afya zipo vizuri Sana lkn bado maboresho yanafanyika
Kuna vyuo vyingi vikubwa vya elimu vinafanya kazi

-Watu wake wanaijua pesa wanamaduka kariakaoo Zambia,Malawi Na kutokana na asili sio wavivu Wanapenda Sana kulima Wanapenda Kula vyakwao.

-mbeya bado IPO imara japokuwa ilivunjwa na kuundwa mkoa mpya wa songwe kwenye lango la nchi linaloingizia tz mapato mengi Sana tunduma

-mbeya kuna makabila makubwa mawili wanyakyusa na wakinga lkn yapo mengine mengi Sana wasafwa wamalila nk
 
Tatizo ni siasa, serikali uwezo inao ila wakifanya hivyo inakuwa mtaji wa kisiasa
Mbeya ilicheleweshewa miundombinu ya barabaraba za katikati ya jiji kutokana na misimamo ya kisiasa za upinzani Jimbo kukaliwa na sugu.

Lkn bado jiji lipo pale pale juu Watu wa mbeya NI wachapakazi Sana.

Tumeona hivi karibuni mji umejengwa barabara za mitaani Kwa rami lkn unaweza Hona ata stendi ya mabus bado haijajengwa mpya inatumika ya zamani lkn Kwa tanzania hii mbeya dar ndio ruti ya MDA mrefu Sana na mabosi wengi wanapeleka bus zao lkn kutokana na misimamo ya kisiasa mbeya ilikua nyuma kwenye mambo mengi kibajeti kama unakumbuka kuna viongoz walipigwa mawe ktk ziara zao mbeya.

Lakn sasahivi Jimbo la mbeya mjini lipo na chama cha madarakani tutegemee makubwa zaidi jiji tayr juzi limetia saini ya kujenga barabara mpya ya njia nne kutoka igawa mpaka mbalizi .. ambayo itaacha katikati eneo la mwendokasi miaka ijayo....

Soon . Utaskia mbeya inajengwa stendi mpya ya mabus ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…