Watu wanamshika kalio lazima ashituke na awe na hasira na wamemuamlia kweli kweli.Malafyale mbona una makasiriko sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanamshika kalio lazima ashituke na awe na hasira na wamemuamlia kweli kweli.Malafyale mbona una makasiriko sana.
ni Dar , Dar es salaamHiyo Dar inayonuka ni Dar ipi?
Mi najua Mbeya yanuka Nguruwe
Usituwekee uchafu kutujazia sever bureNi hivi siwezi kuishi kwenye Kansa,Kwa albino na kwenye mabanda ya nguruwe huko Mwanza..
Ukiona nimekuja Mwanza ujue nakuja Kwa mishe za kazi na hela nothing else sawa wewe kima..
game over Sweet Mbeya [emoji116]
Pumbau wewe, wasukuma wameshachukua wilaya zenu mbili za Chunya na Mbarali na sasa wao ndio madoni huko wamewafundisha kufunga, kulima na kuchimba dhahabu. Tunawapa miaka kumi tu mbele maeneo hayo yanaingia rasmi kwenye sukumaland.Nani aje Huko kwa wasukuma nyie hata mkiona sink za kunawia mikono nyie mnaenda kukojoa hapo why hamtofautish vitu
Wivu utawaua, hiyo Rocky City siyo size yenu Mbeya. Nyie size yenu ni Kahama na Tanga huko. Ndio maaana mkuu wa nchi kwa mwaka anaweza tembelea hiyo city hata mara tatu kwa mwaka. Tena ukome kabisa kufananaisha kijiji chenu Mbeya na Jiji la Mwanza.Wananuka kwenye magari,Wana mafunza kigumu na limji lao linanuka shombo ya samaki Kila sehemu [emoji23][emoji23]
Hapa sawa na Kibera tu. Fyuuuu hayo mabanda sasa.Slum .. mabanda
Dar es Salaam anawatazama mnavyopopoana huku akitabasamu.Tena ukome kabisa kufananaisha kijiji chenu Mbeya na Jiji la Mwanza.
Hilo ndio Jiji la kuishiHiv Kuna mtu yoyote ana dream ya mbeya...
Rock city dream is everywhere [emoji116]View attachment 2661179
Inakuja jijini watu wanapiga daladala na mabaiskeli 🤪🤪🤪 Mwanza ni hovyo sana Hadi aibuWivu utawaua, hiyo Rocky City siyo size yenu Mbeya. Nyie size yenu ni Kahama na Tanga huko. Ndio maaana mkuu wa nchi kwa mwaka anaweza tembelea hiyo city hata mara tatu kwa mwaka. Tena ukome kabisa kufananaisha kijiji chenu Mbeya na Jiji la Mwanza.
Katoe mauchafu Yale yamejaa Mwanza ndio uje kuzungumzia MbeyaUsituwekee uchafu kutujazia sever bure
Wanaongeza makusanyo na akili zimeishia hapoKwamba hiyo masterplan inahusisha ujenzi wa fremu za kupangisha CBD?
Kwanini halmashauri ya mji wa mbeya inapenda sana Fremu ?
View attachment 2656258
Hawatakuekewa, shauri ya kula bangi toka utotoNI bahati mbaya kwamba huu uzi umeingiliwa na kutawaliwa na ushabiki ambao hauwezi kutusaidia sana. Nilitamani mjadala ujikite kwenye hoja za mleta mada, kwa lengo la kuwasaidia wafanya maamuzi ili kuiboresha Mbeya yetu. Kukataa kwamba hakuna tatizo hakulifanye liondoke. Green city stand up!!
Tatizo ni akili mbovu za choice variable yeye arguments zake lazima aingize ulinganifu wa miji. Huyu akili yake ilishaharibika mda mrefu. Mfano jf ana akaunti tatu 😀😀😀😀NI bahati mbaya kwamba huu uzi umeingiliwa na kutawaliwa na ushabiki ambao hauwezi kutusaidia sana. Nilitamani mjadala ujikite kwenye hoja za mleta mada, kwa lengo la kuwasaidia wafanya maamuzi ili kuiboresha Mbeya yetu. Kukataa kwamba hakuna tatizo hakulifanye liondoke. Green city stand up!!
Mimi si mkazi wa Mbeya, ila hupita mara kadhaa kwa mwaka. Nikisikia mtu anauchamba mji fulani kwa ubaya, huwa napenda kujua kwenye huo mji ambao wewe waishi umefanya jambo gani la kujivunia? Au unafurahia kazi za wenzako. Mji haujengwi na yule, unajengwa na wewe. Usiinue mabega kwa kazi za wenzako.Moja kwa moja kwenye mada;
Wenyewe wanaita green city, hii sio kweli . Jina linatakiwa liwe Dusty City.
Hivi pamoja na Hali ya hewa nzuri kitu gani kinazuia halmashauri ya mji kuwa na mipango ya upandaji wa miti ?
Mji wa Mbeya ni kati ya miji mikubwa (Kwa eneo na idadi ya wakazi) Lakini maisha ya mbeya kwa ujumla ni typical kijijini. No order , hakuna ustaarabu, chaotic , vumbi, makelele , watu wanapita na magari ya matangazo ya kila aina Hadi ya misiba. Hawa NEMC badala ya kudeal na kidimbwi na kitambaa cheupe kwanini huku hamuoni?
Mbeya hakuna usafiri wa Taxi , Bajaji ni nyingi kuliko abiria na hazina route yaani kokote anaenda. Daladala routes ni mbili tu Mjini Mbalizi au Mjini Uyole. Ikifika saa tatu usiku basi wewe daka boda uende uendako.
Mbeya hakuna hadhi wala mwonekano wa jiji, tofauti kabisa na Arusha au Mwanza, Mji mzima hakuna hata sehemu ya kufanya matembezi ? Mbeya nyumba za tope zimetapakaa kuanzia uyole, sae, hadi soweto makunguru hadi nzovwe na iyunga.. huko mbalizi ni balaa lingine.
Inashangaza kuona 2023 katikati ya mji serikali inajenga fremu za kupangisha. That’s so annoying.
Why not some modern Structure like a shopping mall?
Hivi mna uhakika hawa viongozi wa halmashauri ya mji wa Mbeya walienda shule kweli? Miaka kadhaa ya nyuma kulikuwa na Fursa ya kujenga Soko la kisasa au shopping mall pale mwanjelwa jamaa wa huko halmashauri ya mji wakaja na lidude la kizamani (structure nzee ya miaka ya 1700s huko) tena kwa mabilioni ya pesa, baada ya pale SIDO kuungua tukajua watakuja na kitu cha tofauti, wapi. Yaleyale.
Picha: Mwonekano wa juu wa mji wa mbeya.
Fremu za Biashara zinazojengwa na Halmashauri ya jiji la mbeya katikati ya mji (CBD)
Jengo la soko la mwanjelwa lililojengwa kwa gharama kubwa (bilioni 60+) pesa za walipakodi
Eneo la kabwe, hapa jioni hugeuka gulio.. hapa unahitaji tu kuwa na bidhaa..nenda kabwe then mwaga chini uza. Vurugumechi.
Miundombinu ni duni sana, duni mno . Barabara ni moja tu ya TAZAM Highway inayopita mjini ambayo ni chakavu sana na ni moja (Sio Dualed). Mbeya si rafiki wa watembea kwa miguu sababu utagongwa muda wowote kama sio na bajaji basi bodaboda. Hakuna jogging Mbeya.
Kwa upande wa huduma za Afya mbeya pako [emoji817]. Mengine ni hovyo kabisa..
Ushauri:
1. Mradi mpya wa barabara ya njia nne toka uyole hadi Uwanja wa ndege ufanyike njia sita maeneo ya Mjini kupunguza foleni, na pia kuwe na provisions za watembea kwa miguu, pale mafiati kuwe na interchange kurahisisha traffic na angalau tusifikirie kubomoa na kujenga tena kwa miaka 15 ijayo.
2. Zijengwe nyumba za kisasa za makazi sehemu kama airport ya zamani. Pia kile chuo cha kilimo kitoe yale mashamba kwa NHC na zijengwe affordable houses nk. Mashamba hayatakiwa mijini. Nchi ina mapori mengi sana
3. Upandaji wa miti iwe ni kipaumbele. Walau kupunguza lile vumbi mjini. Watoto wa shule za misingi na sekondari can easily do this bila hata gharama.
5. Think Big. Jiji linaweza kuanza kufikiria kuwa na reli nyepesi ya abiria toka uwanja wa ndege wa Songwe hadi Uyole, na kubranch pale Meta ikaenda hadi mjini na kuja kutokea mwanjelwa. Kwa Jografia ya mji wa mbeya reli hii itarahisisha usafiri kwa zaidi ya 80% ya mahitaji ya usafiri wa mjini.
6. Maeneo ya wazi yawepo. Hii in muhimu sana.
NB: Mimi sio mwandishi wa wa habari.
Mbeya inaingiza pesa nyingi serikalini kupitia madini,kilimo. Na biashara.Wanaongeza makusanyo na akili zimeishia hapo
Mbeya ilicheleweshewa miundombinu ya barabaraba za katikati ya jiji kutokana na misimamo ya kisiasa za upinzani Jimbo kukaliwa na sugu.Tatizo ni siasa, serikali uwezo inao ila wakifanya hivyo inakuwa mtaji wa kisiasa