Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Milima ya mwanza haiwezi kuwa sawa na ya iringa mjomba
Tofauti ya milima ya mwanza na Iringa ni nini? Na kwanini mji wa Mwanza umekua sana tena zaidi mara 20 zaidi ya Iringa na zote zina milima tena ya mawe.
 
Mbeya ina hadhi ya kuwa jiji kasome urban planning act ya mwaka 2007' utaelewa why mbeya ina deserve kuwa jiji, ata kwenye issue za incomes inaingiza sana mapato mkuu
 
Mbeya ina hadhi ya kuwa jiji kasome urban planning act ya mwaka 2007' utaelewa why mbeya ina deserve kuwa jiji, ata kwenye issue za incomes inaingiza sana mapato mkuu
Kwa fact hiyo ya mapato basi kahama inastahili kuwa jiji, kwasababu imewanyea mapato.
 
Tofauti ya milima ya mwanza na Iringa ni nini? Na kwanini mji wa Mwanza umekua sana tena zaidi mara 20 zaidi ya Iringa na zote zina milima tena ya mawe.
Haya umeona milima HiYo ss utajengaje
 
Hata hi
Kwan lazima wajenge milimani ...hii ipogoro barabara ya kwenda mbeya Kuna tambarare ...hii igumbilo kuelekea ilula Kuna tambarare ya kujenga
Hata hivyo bado tambarare yake ni finyu Sana
 
Hata hi

Hata hivyo bado tambarare yake ni finyu Sana
Mimi NiMekaa iringa naijua vizuri.... igumbilo,kitwiru ,na hiyo njia ya TANZAM Kuna tambarare za kujenga kabisa japo nakubali Kuna milima ya kutisha
 
Kwa fact hiyo ya mapato basi kahama inastahili kuwa jiji, kwasababu imewanyea mapato.
Sasa wewe nyumbu Kahama imemnyea nani mapato? Unapenda kuropoka sana wakati Hilo gulio.la Kahama hata Kwa Tunduma haifiki mapato sembuse Mbeya?
 
Waongezee na events za Kijanja kama hizi πŸ‘‡
 
TANGA PAZURI BHANA. Mbeya saizi yake ni manispaa za kahama, SINGINDA na shinyanga.
Na wewe inatamani Mbeya ndio maana huishi kuwashwa ila ndio huna uwezo wa kuja kuishi huku Sasa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…