Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Milima ya mwanza haiwezi kuwa sawa na ya iringa mjomba
Tofauti ya milima ya mwanza na Iringa ni nini? Na kwanini mji wa Mwanza umekua sana tena zaidi mara 20 zaidi ya Iringa na zote zina milima tena ya mawe.
 
Usipangie watu Maisha,wewe ongea unayotamani yawe vinginevyo pita kushoto..

Mbeya ya Leo is way better than it used to be in 2010 wakati ikitangazwa kuwa Jiji..

Njoo 2025 pia kuandika utopolo wako maana by that time Barabara Kuu njia 4 itakuwa imeisha,Barabara za mitaa km 27 zitakuwa zimeisha na ujenzi wa Stand kubwa za Kisasa utakuwa unaendelea..View attachment 2656232

Njia 6 Kwa Sasa haipo sana sana Kuna mradi wa BRT mbeleni na njia ya Sasa ndio itakuwa reserved Kwa Ajili ya BRT..

Mbeya ipi ambayo watu hawajengi Makazi ya Kisasa? Wewe sema Serikali iongeze Kasi ya kupima Mji..

Kitu pekee nachokuunga mguu ni Chuo Cha Kilimo na JKT hapa Uyole wapishe waende Wilayani hayo maeneo yapimwe na yagawiwe viwanja kama ilivyo Kwa Forest au Iwambi Mpya,hakuna Cha NHC,hao NHC wakajenge Dodoma huko.View attachment 2658463
Mbeya ina hadhi ya kuwa jiji kasome urban planning act ya mwaka 2007' utaelewa why mbeya ina deserve kuwa jiji, ata kwenye issue za incomes inaingiza sana mapato mkuu
 
Mbeya ina hadhi ya kuwa jiji kasome urban planning act ya mwaka 2007' utaelewa why mbeya ina deserve kuwa jiji, ata kwenye issue za incomes inaingiza sana mapato mkuu
Kwa fact hiyo ya mapato basi kahama inastahili kuwa jiji, kwasababu imewanyea mapato.
 
Tofauti ya milima ya mwanza na Iringa ni nini? Na kwanini mj
FB_IMG_16732870962165515.jpg
i wa Mwanza umekua sana tena zaidi mara 20 zaidi ya Iringa na zote zina milima tena ya mawe.
FB_IMG_16732857536556357.jpg
Haya umeona milima HiYo ss utajengaje
 
Hata hi
Kwan lazima wajenge milimani ...hii ipogoro barabara ya kwenda mbeya Kuna tambarare ...hii igumbilo kuelekea ilula Kuna tambarare ya kujenga
Hata hivyo bado tambarare yake ni finyu Sana
 
Hata hi

Hata hivyo bado tambarare yake ni finyu Sana
Mimi NiMekaa iringa naijua vizuri.... igumbilo,kitwiru ,na hiyo njia ya TANZAM Kuna tambarare za kujenga kabisa japo nakubali Kuna milima ya kutisha
 
Kwa fact hiyo ya mapato basi kahama inastahili kuwa jiji, kwasababu imewanyea mapato.
Sasa wewe nyumbu Kahama imemnyea nani mapato? Unapenda kuropoka sana wakati Hilo gulio.la Kahama hata Kwa Tunduma haifiki mapato sembuse Mbeya?
 
Mbeya ni jiji linalovutiwa na watu wengi Sana kama hilivyo Mwanza Arusha dar tanga ....

Kama umeishi mbeya swala la misosi NI bwelele ,,,,
Kama umeishi mbeya swala la mavazi sio Viatu nguo ni cheap Sana,
Kama umeishi mbeya swala la usafiri kufika dar NI Wewe Tu MDA wote usafiri hupo treni ndege gari.

-Mbeya kuna udongo wenye rutuba Sana

-Mbeya kuna madini makaa ya mawe, dhahabu nyingi.
Mbeya

-Mbeya kuna beach nzuri pwani ya ziwa Nyasa wilaya ya kyela na Hali ya hewa inafanana na dar.

-Mbeya mjini imepata pia bahati njia zake za mitaa nyingi kutengenezwa Kwa Rami

-Huduma za afya zipo vizuri Sana lkn bado maboresho yanafanyika
Kuna vyuo vyingi vikubwa vya elimu vinafanya kazi

-Watu wake wanaijua pesa wanamaduka kariakaoo Zambia,Malawi Na kutokana na asili sio wavivu Wanapenda Sana kulima Wanapenda Kula vyakwao.

-mbeya bado IPO imara japokuwa ilivunjwa na kuundwa mkoa mpya wa songwe kwenye lango la nchi linaloingizia tz mapato mengi Sana tunduma

-mbeya kuna makabila makubwa mawili wanyakyusa na wakinga lkn yapo mengine mengi Sana wasafwa wamalila nk
Waongezee na events za Kijanja kama hizi 👇
 
Back
Top Bottom