Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Huyu jamaa hayawani sana anadi Mbeya kijiji. Hawa ndiyo wanaleta ugumu kupigania bandari.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Ndio maana Mwanza ni mbaya Kwa Arusha au?

Acha ushamba ndugu uzuri wa Mji sio magorofa Bali mipango Miji
Kwa hyo unataka kusema dar is slum ni mbaya Kwa dodoma [emoji15][emoji16]..kisa mipango miji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…