ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
NdioNaomba kukuuliza, hivi Dodoma unapatikana Mirembe...?!
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdioNaomba kukuuliza, hivi Dodoma unapatikana Mirembe...?!
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Naunga mkono hoja nimekaa Block T back in days 🤣🤣🤣Moja kwa moja kwenye mada;
Wenyewe wanaita green city, hii sio kweli . Jina linatakiwa liwe Dusty City.
Hivi pamoja na Hali ya hewa nzuri kitu gani kinazuia halmashauri ya mji kuwa na mipango ya upandaji wa miti ?
Mji wa Mbeya ni kati ya miji mikubwa (Kwa eneo na idadi ya wakazi) Lakini maisha ya mbeya kwa ujumla ni typical kijijini. No order , hakuna ustaarabu, chaotic , vumbi, makelele , watu wanapita na magari ya matangazo ya kila aina Hadi ya misiba. Hawa NEMC badala ya kudeal na kidimbwi na kitambaa cheupe kwanini huku hamuoni?
Mbeya hakuna usafiri wa Taxi , Bajaji ni nyingi kuliko abiria na hazina route yaani kokote anaenda. Daladala routes ni mbili tu Mjini Mbalizi au Mjini Uyole. Ikifika saa tatu usiku basi wewe daka boda uende uendako.
Mbeya hakuna hadhi wala mwonekano wa jiji, tofauti kabisa na Arusha au Mwanza, Mji mzima hakuna hata sehemu ya kufanya matembezi ? Mbeya nyumba za tope zimetapakaa kuanzia uyole, sae, hadi soweto makunguru hadi nzovwe na iyunga.. huko mbalizi ni balaa lingine.
Inashangaza kuona 2023 katikati ya mji serikali inajenga fremu za kupangisha. That’s so annoying.
Why not some modern Structure like a shopping mall?
Hivi mna uhakika hawa viongozi wa halmashauri ya mji wa Mbeya walienda shule kweli? Miaka kadhaa ya nyuma kulikuwa na Fursa ya kujenga Soko la kisasa au shopping mall pale mwanjelwa jamaa wa huko halmashauri ya mji wakaja na lidude la kizamani (structure nzee ya miaka ya 1700s huko) tena kwa mabilioni ya pesa, baada ya pale SIDO kuungua tukajua watakuja na kitu cha tofauti, wapi. Yaleyale.
Picha: Mwonekano wa juu wa mji wa mbeya.
Fremu za Biashara zinazojengwa na Halmashauri ya jiji la mbeya katikati ya mji (CBD)
Jengo la soko la mwanjelwa lililojengwa kwa gharama kubwa (bilioni 60+) pesa za walipakodi
Eneo la kabwe, hapa jioni hugeuka gulio.. hapa unahitaji tu kuwa na bidhaa..nenda kabwe then mwaga chini uza. Vurugumechi.
Miundombinu ni duni sana, duni mno . Barabara ni moja tu ya TAZAM Highway inayopita mjini ambayo ni chakavu sana na ni moja (Sio Dualed). Mbeya si rafiki wa watembea kwa miguu sababu utagongwa muda wowote kama sio na bajaji basi bodaboda. Hakuna jogging Mbeya.
Kwa upande wa huduma za Afya mbeya pako [emoji817]. Mengine ni hovyo kabisa..
Ushauri:
1. Mradi mpya wa barabara ya njia nne toka uyole hadi Uwanja wa ndege ufanyike njia sita maeneo ya Mjini kupunguza foleni, na pia kuwe na provisions za watembea kwa miguu, pale mafiati kuwe na interchange kurahisisha traffic na angalau tusifikirie kubomoa na kujenga tena kwa miaka 15 ijayo.
2. Zijengwe nyumba za kisasa za makazi sehemu kama airport ya zamani. Pia kile chuo cha kilimo kitoe yale mashamba kwa NHC na zijengwe affordable houses nk. Mashamba hayatakiwa mijini. Nchi ina mapori mengi sana
3. Upandaji wa miti iwe ni kipaumbele. Walau kupunguza lile vumbi mjini. Watoto wa shule za misingi na sekondari can easily do this bila hata gharama.
5. Think Big. Jiji linaweza kuanza kufikiria kuwa na reli nyepesi ya abiria toka uwanja wa ndege wa Songwe hadi Uyole, na kubranch pale Meta ikaenda hadi mjini na kuja kutokea mwanjelwa. Kwa Jografia ya mji wa mbeya reli hii itarahisisha usafiri kwa zaidi ya 80% ya mahitaji ya usafiri wa mjini.
6. Maeneo ya wazi yawepo. Hii in muhimu sana.
NB: Mimi sio mwandishi wa wa habari.
Ilo swali unamuuliza nani?Kwa hiyo uchumi wa Jiji la Dom ni sawa na Uchumi wa Jiji lipi Kwa Sasa hapa Tzn ukitoa Dar?
Wewe unaetetea Arusha
Arusha inajitetea yenyewe kk,Tetea DodomaWewe unaetetea Arusha
Ijitetee Kwa lipi wakati inazidiwa mapato na Dodoma? Ukizidiwa hela manake nini kwako? Nani anatakiwa kujitetea?
Ndio Jiji Hilo la Mbeya wewe unatakaje 😆😆Mbeya hakuna jiji!!
Ni kiwilaya fulani kimepewa hadhi ya jiji.
Ni mji wa hovyo hakuna mwingine nchini.
Miundombinu hovyo
Mipango miji hovyo.
Ni tabu tupu.
Mji mzima unategemea zaidi barabara moja tu.
Huko pembeni Kuna Mashimo na shida za hatari.
Ukipita soweto mitaa ambayo watu wanatakiwa waambiwe sasa hivi ni majengo ya kwenda juu mipango miji wanaruhusu vijumba vya chini.
Kinachofanyika ni kupandisha juuu bati tu.
Bara bara ndio kabisa watu wanapiga hela tu.
Hazipitiki.
Zilizojengwa miaka sugu yupo yamekuwa mashimo hatari!!!
Kitu kingine, jiji wanapima tu viwanja na kuuza.
Hakuna miundombinu wanaweka mwenye hivyo viwanja.
Hakuna bara bara hakuna maji miaka inaenda tu.
Wanatangaza kuuza kwingine.
Jiji hili ni la hovyo sana
Hela zipi kijanaIjitetee Kwa lipi wakati inazidiwa mapato na Dodoma? Ukizidiwa hela manake nini kwako? Nani anatakiwa kujitetea?
Wewe mshamba,hujui kutofautisha kati ya Jiji na Mkoa..Hela zipi kijana
Unafikiri Arusha ni kijijini kwenu kantalamba eeh?View attachment 2689922
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Mkoa wa Dodoma ni moja ya mikoa masikini tu,hata tukienda wilaya kwa wilaya ni aibu tu unatafutaWewe mshamba,hujui kutofautisha kati ya Jiji na Mkoa..
Mapato ya Arusha unayoyaona 70% yanatoka Ngorongoro huko wakati Dom 90% ya mapato yanatoka ndani ya Jiji la Dodoma.
Ndio maana nakwambia tufanye hesabu za GDP ya Arusha City vs Dodoma City na sio Mikoa husika.
Na ndio maana nimekwambia Mkoa wa Dodoma Kila kitu unategemea ndani ya Jiji la Dodoma kidogo na Chamwino.Mkoa wa Dodoma ni moja ya mikoa masikini tu,hata tukienda wilaya kwa wilaya ni aibu tu unatafuta
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Unalia sana kijana,haiwezekani mkoa mzima utegemer wilaya mbili tu,huo ni umaskini mmbaya sanaNa ndio maana nimekwambia Mkoa wa Dodoma Kila kitu unategemea ndani ya Jiji la Dodoma kidogo na Chamwino.
Huko Arusha Wilaya zote zinachangia mapato japo Kwa uwiano tofauti.
Sasa kama Jiji la Dom ndio linabeba Mkoa hako ka Arusha kataikutia wapi? Ni sawa na kusema Kilimanjaro inaingiza pesa nyingi kuliko Mbeya lakini kumbe zinatoka KIA airport na Kinapa tuu.
Dodoma City vs Arusha City mengine ni unajitetea tuu 🤣🤣Unalia sana kijana,haiwezekani mkoa mzima utegemer wilaya mbili tu,huo ni umaskini mmbaya sana
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Sasa hata tukisema arusha jiji na dodoma jiji baso arusha iko juuDodoma City vs Arusha City mengine ni unajitetea tuu [emoji1787][emoji1787]
Mkoa wa Mwanza unategemea wapi zaidi ya pale Mjini?
Ni Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini tuu na Dar,Pwani ndio ambayo maendelea yamesambaa Wilaya zote ,Mikoa iliyosalia yote maendelea yapo kwenye Makao Makuu ya Mkoa husika tuu.
Daaaah...!Serikali ahamishe wananchi wote mbeya libaki kuwa eneo la kulima mpunga na kufugia nguruwe, Ile sio sehemu salama kwa binadamu kuishi.
Isipopita siku hujaitaja mwanza kwenye ujinga wako😆😆😆, kila kitu, kila mji lazima uulinganishe na Mwanza, we pambana na jangwa lako hilo, jiji lisilokuwa na shukrani.Dodoma City vs Arusha City mengine ni unajitetea tuu 🤣🤣
Mkoa wa Mwanza unategemea wapi zaidi ya pale Mjini?
Ni Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini tuu na Dar,Pwani ndio ambayo maendelea yamesambaa Wilaya zote ,Mikoa iliyosalia yote maendelea yapo kwenye Makao Makuu ya Mkoa husika tuu.
🤣🤣😆😆😆Ukitaka kuona uzuri wa mji angalia wakazi wake wengi wanaishi namna gani.
Huko Arusha watu wanaishi kwenye nyumba za miti huko Ungalimited, watu wa mwanza wengi wanaishi kwenye slums milimani, Dar watu wanaishi na open sewers mitaani.
Mbeya haijapangika ila watu wake hawaishi kwenye mabanda na maslum yenye open sewers.
Ujuu wake uko wapi na Kwa lipi? Barabara hakuna,mitaa full uswazi,mapato ya Jiji Arusha imezidiwa,vyuo mumezidiwa,idadi wa watu mumezidiwa nk nkSasa hata tukisema arusha jiji na dodoma jiji baso arusha iko juu
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app