Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Naunga mkono hoja nimekaa Block T back in days 🀣🀣🀣
 
Mbeya hakuna jiji!!
Ni kiwilaya fulani kimepewa hadhi ya jiji.
Ni mji wa hovyo hakuna mwingine nchini.
Miundombinu hovyo
Mipango miji hovyo.
Ni tabu tupu.
Mji mzima unategemea zaidi barabara moja tu.
Huko pembeni Kuna Mashimo na shida za hatari.
Ukipita soweto mitaa ambayo watu wanatakiwa waambiwe sasa hivi ni majengo ya kwenda juu mipango miji wanaruhusu vijumba vya chini.
Kinachofanyika ni kupandisha juuu bati tu.
Bara bara ndio kabisa watu wanapiga hela tu.
Hazipitiki.
Zilizojengwa miaka sugu yupo yamekuwa mashimo hatari!!!

Kitu kingine, jiji wanapima tu viwanja na kuuza.
Hakuna miundombinu wanaweka mwenye hivyo viwanja.
Hakuna bara bara hakuna maji miaka inaenda tu.
Wanatangaza kuuza kwingine.

Jiji hili ni la hovyo sana
 
Ndio Jiji Hilo la Mbeya wewe unatakaje πŸ˜†πŸ˜†

Sweet home Mbeya
 
Hela zipi kijana
Unafikiri Arusha ni kijijini kwenu kantalamba eeh?View attachment 2689922

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Wewe mshamba,hujui kutofautisha kati ya Jiji na Mkoa..

Mapato ya Arusha unayoyaona 70% yanatoka Ngorongoro huko wakati Dom 90% ya mapato yanatoka ndani ya Jiji la Dodoma.

Ndio maana nakwambia tufanye hesabu za GDP ya Arusha City vs Dodoma City na sio Mikoa husika.
 
Mkoa wa Dodoma ni moja ya mikoa masikini tu,hata tukienda wilaya kwa wilaya ni aibu tu unatafuta

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Ukitaka kuona uzuri wa mji angalia wakazi wake wengi wanaishi namna gani.

Huko Arusha watu wanaishi kwenye nyumba za miti huko Ungalimited, watu wa mwanza wengi wanaishi kwenye slums milimani, Dar watu wanaishi na open sewers mitaani.
Mbeya haijapangika ila watu wake hawaishi kwenye mabanda na maslum yenye open sewers.
 
Mkoa wa Dodoma ni moja ya mikoa masikini tu,hata tukienda wilaya kwa wilaya ni aibu tu unatafuta

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Na ndio maana nimekwambia Mkoa wa Dodoma Kila kitu unategemea ndani ya Jiji la Dodoma kidogo na Chamwino.

Huko Arusha Wilaya zote zinachangia mapato japo Kwa uwiano tofauti.

Sasa kama Jiji la Dom ndio linabeba Mkoa hako ka Arusha kataikutia wapi? Ni sawa na kusema Kilimanjaro inaingiza pesa nyingi kuliko Mbeya lakini kumbe zinatoka KIA airport na Kinapa tuu.
 
Unalia sana kijana,haiwezekani mkoa mzima utegemer wilaya mbili tu,huo ni umaskini mmbaya sana

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Unalia sana kijana,haiwezekani mkoa mzima utegemer wilaya mbili tu,huo ni umaskini mmbaya sana

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Dodoma City vs Arusha City mengine ni unajitetea tuu 🀣🀣

Mkoa wa Mwanza unategemea wapi zaidi ya pale Mjini?

Ni Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini tuu na Dar,Pwani ndio ambayo maendelea yamesambaa Wilaya zote ,Mikoa iliyosalia yote maendelea yapo kwenye Makao Makuu ya Mkoa husika tuu.
 
Sasa hata tukisema arusha jiji na dodoma jiji baso arusha iko juu

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Isipopita siku hujaitaja mwanza kwenye ujinga wakoπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†, kila kitu, kila mji lazima uulinganishe na Mwanza, we pambana na jangwa lako hilo, jiji lisilokuwa na shukrani.
 
πŸ€£πŸ€£πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…