Hivi viota vinatakiwa wajisifu watu wa Igunga na sio jiji, mna safari ndefu sana, vichuguu vya majiji vinatakiwa vianzie 10f nakuendelee hizo ulizopost ni nyumba za mitaa ya mecco, nyasaka.Mbeya ya Sasa ni π₯π₯.
Viota vipya vinazidi kuchipuka Jijini ππView attachment 2918768View attachment 2918769View attachment 2918770View attachment 2918771View attachment 2918772View attachment 2918773View attachment 2918774View attachment 2918775View attachment 2918776
Acha ujinga,naona mumeanza kubadili wimbo,hayo majengo Bado hayajakamilika ujenzi unaendelea.Hi
Hivi viota vinatakiwa wajisifu watu wa Igunga na sio jiji, mna safari ndefu sana, vichuguu vya majiji vinatakiwa vianzie 10f nakuendelee hizo ulizopost ni nyumba za mitaa ya mecco, nyasaka.
Toka mpate hako kajengo lenye hadhi ya manispa ya kahama naona makalio ya wana mbeya yanalia mbwata, tuma ingine kenye hadhi ya hivyo.Acha ujinga,naona mumeanza kubadili wimbo,hayo majengo Bado hayajakamilika ujenzi unaendelea.
Bado hamjasema ndio kwanza Mbeya kumeanza Kucha ππView attachment 2920149View attachment 2920150View attachment 2920151View attachment 2920152
Sasahivi pamebadilika bhana. Mbona sioni GR City Hotel hapoYaani niache kuumizwa na dar nije niumizwe na mbeyslum [emoji116]
Imagine hii ndio kariakoo ya mbeyslum [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2691364
Bado hujasema Hadi useme ππToka mpate hako kajengo lenye hadhi ya manispa ya kahama naona makalio ya wana mbeya yanalia mbwata, tuma ingine kenye hadhi ya hivyo.
Unaokoteza pich za mtandaoni za zamani unajua mambo yako vile vile si ndio? ππYaani niache kuumizwa na dar nije niumizwe na mbeyslum [emoji116]
Imagine hii ndio kariakoo ya mbeyslum [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2691364
Hakika
Wamekariri maisha,Jana sio Leo .Sasahivi pamebadilika bhana. Mbona sioni GR City Hotel hapo
Mwanza Kila Leo Kuna mada za kuiponda,Bado hujasema Hadi useme πππππππππππππππππππ
Mmeanza kuja kuja bhanaπBado hujasema Hadi useme ππView attachment 3055637View attachment 3055638View attachment 3055639View attachment 3055640View attachment 3055641View attachment 3055642
My Take: Usifananishe Jiji la Mbeya na Gulio.
Mi mpaka leo siamini kama mbeya kuna ofisi ya mipango miji. Kama ipo ni kazi gani wanafanya kama mitaa mipya iko vibaya kuliko ile ya 90s kurudi nyuma. Katikati ya mji unaweka barabara ya changarawe π€£π€£π€£π€£. Ni kama uongozi umelala fofofo, na hauna mpango wa kuamka hivi karibuni.Kinacho iponza mbeya ni kwamba inakuzwa kuliko uhalisia. Kwa mtu ambae hajawai kufika mbeya akiwa anaenda anakua na shauku sana ya kuliona jiji, ila anakuja kukutana na slums tu π
By the way. Kufeli kwa mbeya ni kufeli kwa mipango miji. Na sijawqi ona sehemu zinajengwa nyumba za ajabu ajabu kama mbeya. Wenyewe utaskia ujenzi mbeya ni gharama nafuu kumbe wanapanga matofali.
Kuna kipindi nilienda mbozi. Nilishangaa sana kukutana na mitaa iliyo pimwa na kupangwa vizuri. Nyumba ni za kawaida lkn zimenyooka. Barabara zq mitaaa hazina rami lkn zimechongwa.
Kwa kweli miji ilio jengwa vizuri inaleta sana fahari ya macho.
Unamdanganya nani? Mwanza hii ambayo inazidiwa Kila kitu na Dodoma na Arusha? ππProjects kama hizi mwanza hazihesabiki maana kuna balaa kubwa hapo, Watu binafsi hapo CBD ujenzi upo π₯ π₯ π₯ π₯ π₯, TBA maeneo ya Ghana wanakichafua, NHC+UBIA, maeneo ya Lumumba, liberty, Karuta, Rufiji wanakichafua
Wapi kina mipango Miji? Mwanza na Yale mabanda ya nguruwe humo Kirumba nk? ππMi mpaka leo siamini kama mbeya kuna ofisi ya mipango miji. Kama ipo ni kazi gani wanafanya kama mitaa mipya iko vibaya kuliko ile ya 90s kurudi nyuma. Katikati ya mji unaweka barabara ya changarawe π€£π€£π€£π€£. Ni kama uongozi umelala fofofo, na hauna mpango wa kuamka hivi karibuni.
Mbeya haijakuzwa labda Kwa mjinga.Jiji la 5 Kwa Ukubwa Tanzania unatarajia maajabu gani?Kinacho iponza mbeya ni kwamba inakuzwa kuliko uhalisia. Kwa mtu ambae hajawai kufika mbeya akiwa anaenda anakua na shauku sana ya kuliona jiji, ila anakuja kukutana na slums tu π
By the way. Kufeli kwa mbeya ni kufeli kwa mipango miji. Na sijawqi ona sehemu zinajengwa nyumba za ajabu ajabu kama mbeya. Wenyewe utaskia ujenzi mbeya ni gharama nafuu kumbe wanapanga matofali.
Kuna kipindi nilienda mbozi. Nilishangaa sana kukutana na mitaa iliyo pimwa na kupangwa vizuri. Nyumba ni za kawaida lkn zimenyooka. Barabara zq mitaaa hazina rami lkn zimechongwa.
Kwa kweli miji ilio jengwa vizuri inaleta sana fahari ya macho.