Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Hi
Hivi viota vinatakiwa wajisifu watu wa Igunga na sio jiji, mna safari ndefu sana, vichuguu vya majiji vinatakiwa vianzie 10f nakuendelee hizo ulizopost ni nyumba za mitaa ya mecco, nyasaka.
 
Acha ujinga,naona mumeanza kubadili wimbo,hayo majengo Bado hayajakamilika ujenzi unaendelea.

Bado hamjasema ndio kwanza Mbeya kumeanza Kucha πŸ‘‡πŸ‘‡
20240228_211457.jpg
20240203_171534.jpg
20240125_071454.jpg
Screenshot_20240108-185337.jpg
 
Toka mpate hako kajengo lenye hadhi ya manispa ya kahama naona makalio ya wana mbeya yanalia mbwata, tuma ingine kenye hadhi ya hivyo.
Bado hujasema Hadi useme πŸ‘‡πŸ‘‡
IMG_20240727_072458_650.jpg
IMG_20240727_072230_596.jpg
IMG_20240727_072457_799.jpg
IMG_20240727_074839_677.jpg
IMG_20240727_074946_426.jpg
IMG_20240727_075123_406.jpg

My Take: Usifananishe Jiji la Mbeya na Gulio.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwanza Kila Leo Kuna mada za kuiponda,Bado hujasema Hadi useme πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡
20240720_163355.jpg
 
Kinacho iponza mbeya ni kwamba inakuzwa kuliko uhalisia. Kwa mtu ambae hajawai kufika mbeya akiwa anaenda anakua na shauku sana ya kuliona jiji, ila anakuja kukutana na slums tu πŸ˜€

By the way. Kufeli kwa mbeya ni kufeli kwa mipango miji. Na sijawqi ona sehemu zinajengwa nyumba za ajabu ajabu kama mbeya. Wenyewe utaskia ujenzi mbeya ni gharama nafuu kumbe wanapanga matofali.

Kuna kipindi nilienda mbozi. Nilishangaa sana kukutana na mitaa iliyo pimwa na kupangwa vizuri. Nyumba ni za kawaida lkn zimenyooka. Barabara zq mitaaa hazina rami lkn zimechongwa.

Kwa kweli miji ilio jengwa vizuri inaleta sana fahari ya macho.
 
Mi mpaka leo siamini kama mbeya kuna ofisi ya mipango miji. Kama ipo ni kazi gani wanafanya kama mitaa mipya iko vibaya kuliko ile ya 90s kurudi nyuma. Katikati ya mji unaweka barabara ya changarawe 🀣🀣🀣🀣. Ni kama uongozi umelala fofofo, na hauna mpango wa kuamka hivi karibuni.
 
Projects kama hizi mwanza hazihesabiki maana kuna balaa kubwa hapo, Watu binafsi hapo CBD ujenzi upo πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯, TBA maeneo ya Ghana wanakichafua, NHC+UBIA, maeneo ya Lumumba, liberty, Karuta, Rufiji wanakichafua
 
Unamdanganya nani? Mwanza hii ambayo inazidiwa Kila kitu na Dodoma na Arusha? 😁😁
 
Mi mpaka leo siamini kama mbeya kuna ofisi ya mipango miji. Kama ipo ni kazi gani wanafanya kama mitaa mipya iko vibaya kuliko ile ya 90s kurudi nyuma. Katikati ya mji unaweka barabara ya changarawe 🀣🀣🀣🀣. Ni kama uongozi umelala fofofo, na hauna mpango wa kuamka hivi karibuni.
Wapi kina mipango Miji? Mwanza na Yale mabanda ya nguruwe humo Kirumba nk? 😁😁
 
Kinacho iponza mbeya ni kwamba inakuzwa kuliko uhalisia. Kwa mtu ambae hajawai kufika mbeya akiwa anaenda anakua na shauku sana ya kuliona jiji, ila anakuja kukutana na slums tu πŸ˜€

By the way. Kufeli kwa mbeya ni kufeli kwa mipango miji. Na sijawqi ona sehemu zinajengwa nyumba za ajabu ajabu kama mbeya. Wenyewe utaskia ujenzi mbeya ni gharama nafuu kumbe wanapanga matofali.

Kuna kipindi nilienda mbozi. Nilishangaa sana kukutana na mitaa iliyo pimwa na kupangwa vizuri. Nyumba ni za kawaida lkn zimenyooka. Barabara zq mitaaa hazina rami lkn zimechongwa.

Kwa kweli miji ilio jengwa vizuri inaleta sana fahari ya macho.
Mbeya haijakuzwa labda Kwa mjinga.Jiji la 5 Kwa Ukubwa Tanzania unatarajia maajabu gani?

Anyway this is Mbeya πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://x.com/Visitmbeya/status/1830973980553187395?t=cINkem5vbH3jtREi69qsQg&s=19
 
Back
Top Bottom