Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Master plan ni siasa katika nchi hii, nipe mfano wa eneo moja hapa TZ mabayo watekeleza. DSM ina master plan, lakini pako hovyo, watu wanapanga watakavyo.
 
Kwenye huu Uzi choice variable napo anakaza misuli ya shavu kutaka kuifananisha mbeya na mwanza??. Kijana wa hovyo sana ideally ni kati ya vijana wanaoliingizia Taifa hasara. Kichaa siyo lazima aokote makopo.
 
Mbeya nilishakutana na nguruwe zinajichunga zenyewe street nilishangaa mwenyeji wangu akaniambia hizo zinajua nyumbani kwao jioni zitarudi
 
Mkuu ni kitu gani kinafanya Arusha iizidi Mwanza?? Kwa Dodoma sikatai kwa sababu ndio nyumbani kwa Serikali. Kwa projects zinazoendelea Dodoma huenda ndio ukawa mji wa pili kwa uzuri na ukubwa ukiacha Dar es salaam. Lakini kuufananisha mji wa Mwanza na Arusha ni kuukosea heshma
Unamdanganya nani? Mwanza hii ambayo inazidiwa Kila kitu na Dodoma na Arusha? 😁😁
 
Unajitoa ufahamu si ndio?
-Mapato
-Magorofa mengi na marefu
-Mahoteli
-Umaarufu(Jiji linalojulikana zaidi Tanzania baada ya Dar,Makao Makuu ya taasisi za Kimataifa nk
-Miundombinu ya Barabara (Njia 4),lami nk
-Viwanda
-Uzuri na mandhari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…