Msolo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2008
- 2,713
- 3,559
Master plan ni siasa katika nchi hii, nipe mfano wa eneo moja hapa TZ mabayo watekeleza. DSM ina master plan, lakini pako hovyo, watu wanapanga watakavyo.Master plan itazipanga upya hizo slums Ili kwanza ziwe accessible na Huduma zote za jamii..
Kupanga Mbeya ni rahisi sana kuliko.kupanga slums dwellers wa Mwanza ambao 70% ya population wanaishi kwenye mabanda kule milimani..
Mwisho Master plan inalenga kuhakikisha hakuna slums Mpya zinazoibuka.