Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Mwanza na mbeya umerogwa Nini wewe. Geita yenyewe huiwezi pengine nikuletee shinyanga
Unaruka Rukwa kama maharage πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Leta hapa private hospitals ya Mwanza maana Mbeya ziko 3 za ukweli
-Maranatha
-K's specialized hospital
-Iwambi Specialized Hospital

Leta za Mwanza kabla hujahamia kwenye hivyo Vijiji vingine vya wafugaji πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Pambana na GEITA kwanza, Mwanza siyo saizi yako
 
Mbeya sihitaji kuleta tender tayari Mkandarasi Yuko site anajenga stendi.
Basi kula vyuma hivyo. Maana tukikuambia hutaki kuelewa. Hata geita yupo site kitambo mno. Hadi huko bukoba mkandarasi yupo site.
 

Siku nyingine upunguze ubishi usio na tija. Haya Jiji linasomeshwa.
 
Linganisha mwenyewe halafu uone ipi Kali kama macho hayaoni vizuri vaa miwani
Hii huwezi ikuta Mwanza nzima achilia mbali huko Kijijini Geita.

Sio Hoteli ni Hospital ya Kanda Mbeya πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Tunaoijua mbeya vizuri tunaungana nawewe vizuri sehemu kama Mbalizi hawakustahili kuishi watu bali ndege na wanyama wa mwituni
 
Unatanua mbawa kuitaja mwanza wakati Geita tu imekushinda. Tuliza kwanza mshono mambo ni mengi Mno.
Leta the fisi kama hii hapo Mwanza ,Kijijini Geita hakuna kitu πŸ‘‡πŸ‘‡
Your browser is not able to display this video.
 
Tunaoijua mbeya vizuri tunaungana nawewe vizuri sehemu kama Mbalizi hawakustahili kuishi watu bali ndege na wanyama wa mwituni
Unanyumba kwanza au ndio unaishi kwenye Yale mabanda ya nguruwe kule Kirumba Mwanza? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…