Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

images (20).jpeg

Geita
 
Mwanza na mbeya umerogwa Nini wewe. Geita yenyewe huiwezi pengine nikuletee shinyanga
Unaruka Rukwa kama maharage 😂😂😂.

Leta hapa private hospitals ya Mwanza maana Mbeya ziko 3 za ukweli
-Maranatha
-K's specialized hospital
-Iwambi Specialized Hospital

Leta za Mwanza kabla hujahamia kwenye hivyo Vijiji vingine vya wafugaji 😂😂😂😂
 
Pambana na GEITA kwanza, Mwanza siyo saizi yako
 
Mbeya sihitaji kuleta tender tayari Mkandarasi Yuko site anajenga stendi.
Basi kula vyuma hivyo. Maana tukikuambia hutaki kuelewa. Hata geita yupo site kitambo mno. Hadi huko bukoba mkandarasi yupo site.
 
images (22).jpeg
images (21).jpeg

Siku nyingine upunguze ubishi usio na tija. Haya Jiji linasomeshwa.
 
Tunaoijua mbeya vizuri tunaungana nawewe vizuri sehemu kama Mbalizi hawakustahili kuishi watu bali ndege na wanyama wa mwituni
 
Unatanua mbawa kuitaja mwanza wakati Geita tu imekushinda. Tuliza kwanza mshono mambo ni mengi Mno.
Leta the fisi kama hii hapo Mwanza ,Kijijini Geita hakuna kitu 👇👇
 
Tunaoijua mbeya vizuri tunaungana nawewe vizuri sehemu kama Mbalizi hawakustahili kuishi watu bali ndege na wanyama wa mwituni
Unanyumba kwanza au ndio unaishi kwenye Yale mabanda ya nguruwe kule Kirumba Mwanza? 😂😂
 
Back
Top Bottom