Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Mimi naenjoy tu stock images of beautiful Mbeya, ila kwenye uongo nitakwambia 😁, Sema kazi nzuri itabidi ufungue uzi mahususi kwa ajili ya kuweka hizi picha , Ila chonde chonde mkuu picha ya valverde usiiweke 😁
Tutazikuta Mbeya region au Mbeya city
Kuna Mbeya region bila kuwa na Mbeya City? Unataka kutokea dirishani? 🀣🀣🀣πŸ€ͺ

Na wewe si ulete hoteli za Misungwi na Ukerewe? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Anyway Uzi upo ni huu hapa Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…