Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Jibu swali. Yaani Arusha na Mwanza wewe unaona mbali sana umefika wewe tu?. Umeulizwa Mbeya ijifunze nini Arusha uswazi?. Wanaume kuzidiwa kete na wanawake?. Au wanaume kupigwa na wanawake? Au ule uchizi wa wadudu sijui?
Simama katika uhalisia na usiangalia eti Kwa sababu wewe ni WA mbeya ndio utetee Kila kitu hata kama ni kibovu..Mimi mwenyewe ni wa mbeya Ile sijafungwa Akili kiivyo..wake up brother.Mbeya Iko too far behind ya Mwanza na Arusha kimiundombinu na mpangilio wa makazi.
 
Tatizo lako unahisi unaitetea mbeya kumbe ndio unaidumaza..hivi unaijua vizuri Mwanza au unaongea Ili kufurahisha moyo wako.
Jibu swali,Mbeya ijifunze kipi huko kwenye Vimji vya Utopolo vya Arusha na Mwanza?

Naididimiza kwani Mimi ni Serikali? Huko kwingine ni Nguvu ya Serikali,Watu wa Mbeya wanapambana kivyao
 
Jibu swali. Yaani Arusha na Mwanza wewe unaona mbali sana umefika wewe tu?. Umeulizwa Mbeya ijifunze nini Arusha uswazi?. Wanaume kuzidiwa kete na wanawake?. Au wanaume kupigwa na wanawake? Au ule uchizi wa wadudu sijui?
Anatokota tuu badala ya kujibu swali,Vimji vya hovyo hivyo Mbeya ikajifunze nini? Mwanza hata Barabara hakuna
 
Miundombinu ipi ambayo Iko behind kushinda Mwanza na Arusha? Kuwa wa Mbeya Haina maana unaishi Mbeya unaweza kuwa ulishasepa kitambo so unadhani Mbeya Iko kama ilivyokuwa zamani.

Mbeya ikajifunze kipi Cha spesho Kwa Arusha& Mwanza?
 
Kwamba hili Jengo la Songwe Airport (Mbeya) halina viwango vya Kimataifa? πŸ‘‡πŸ‘‡

Niletee Jengo kama Hilo Arusha& Mwanza Ili Mbeya ijifunze 🀣🀣🀣🀣

Mradi upi huo mkubwa wa Mbeya ambao unajengwa kizamani? Jiji likikosa Malls basi ndio haliitwi Jiji au? 😬😬
 
Miundombinu ipi ambayo Iko behind kushinda Mwanza na Arusha? Kuwa wa Mbeya Haina maana unaishi Mbeya unaweza kuwa ulishasepa kitambo so unadhani Mbeya Iko kama ilivyokuwa zamani.

Mbeya ikajifunze kipi Cha spesho Kwa Arusha& Mwanza?
Acha kukaza fuvu basi..Leo hii jiji letu la mbeya watu bado wanajenga nyumba Kwa kutumia matifali mabichi na fensi pia wanatumia matofali mabichi yakipigwa na mvua TU nyasi zinaota halafu ndio uje ufananishe na wenzetu..tukubali TU kuwa tupo nyuma jitahada zifanyike kukwamua mkoa.Mamlaka inayosimamia mipango miji imelala mno.Naamini Kuna watu wengi wa mbeya humu ambao wameshatembea hiyo mikoa niliyoitaja ..wanawacheka tu mnavyojitoa Akili.
 
Wenzenu kina nani ambao hawajengi nyumba za matope mjini? Unakuja Mbauda,Ilerai na mitaa mingine ya hovyo huko Arusha ?

Unaijua Mwanza na mabanda ya nguruwe Yale mule Kirumba,mabatini ,Mwanza South nk?

Mwisho matofali mabichi ya udongo wa Mbeya Yana shika zaidi kuliko matofali ya kuchoma.

Pili ulishawahi ona wapi Mji wowote hapa Duniani hauna Mitaa ya watu maskini Hadi Mbeya ionekane ya ajabu? Nitajie huo Mji basi.

Mwisho hakuna Cha kujifunza huko unakoshoboka,seems wewe ni mshamba hata hukujui vizuri?
 
Mawazo yako yanaathiriwa na conflict of interest ila ukweli utabaki pale pale wa are too far behind them
 
Mzee Mimi mbeya ni kwetu na nilikuwepo hapo juzi tu..hayo maghorofa ni ya kuhesabika ,machache sana na yapo scattered tofauti na wenzetu..Umeshawahi fika city centre ya Mwanza .?mbeya hata cjui city centre ipo wapi?
Yalikuwepo miaka 5 iliyopita? Na haya Je? πŸ‘‡πŸ‘‡

Hayo ni Baadhi tuu kati ya mengi yanayoota.Kuwa wa Mbeya Haina maana unaijua Mbeya vizuri na kama unaijua hizo picha nimepiga Mbeya sehemu gani?
 
jamaa yupo sawa
jamaa yupo sawa ila mahaba na ubishi tu mbeya bado sanaaa kuwa jiji tena sanaaa mfano forest ya zamani imeachwa wazi ya michezo?
 
jamaa yupo sawa

jamaa yupo sawa ila mahaba na ubishi tu mbeya bado sanaaa kuwa jiji tena sanaaa mfano forest ya zamani imeachwa wazi ya michezo?
Sasa hapo ndio umeongea nini? Ili iwe Jiji inatakiwa iwaje labda?
 
Umeandika soko limejengwa kwa TZS 60 billions! Sasa bwamdogo kama unaweza kuongea uongo mkubwa kwa ujasiri kiasi hicho unadhani tutaweza kukushawishi ustaarabike?
 
Umeandika soko limejengwa kwa TZS 60 billions! Sasa bwamdogo kama unaweza kuongea uongo mkubwa kwa ujasiri kiasi hicho unadhani tutaweza kukushawishi ustaarabike?
Huyo ni hater ambae anasikia sana Raha kukana kwao 😬😬

Kama mnataka Mbeya ifanane na Dom waambieni watu wa Serikali wawekeze Mbeya kama wanavyojenga Mikoa Mingine.
 
Akili kubwa sana bro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…