Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Jibu swali. Yaani Arusha na Mwanza wewe unaona mbali sana umefika wewe tu?. Umeulizwa Mbeya ijifunze nini Arusha uswazi?. Wanaume kuzidiwa kete na wanawake?. Au wanaume kupigwa na wanawake? Au ule uchizi wa wadudu sijui?
Simama katika uhalisia na usiangalia eti Kwa sababu wewe ni WA mbeya ndio utetee Kila kitu hata kama ni kibovu..Mimi mwenyewe ni wa mbeya Ile sijafungwa Akili kiivyo..wake up brother.Mbeya Iko too far behind ya Mwanza na Arusha kimiundombinu na mpangilio wa makazi.
 
Tatizo lako unahisi unaitetea mbeya kumbe ndio unaidumaza..hivi unaijua vizuri Mwanza au unaongea Ili kufurahisha moyo wako.
Jibu swali,Mbeya ijifunze kipi huko kwenye Vimji vya Utopolo vya Arusha na Mwanza?

Naididimiza kwani Mimi ni Serikali? Huko kwingine ni Nguvu ya Serikali,Watu wa Mbeya wanapambana kivyao
 
Jibu swali. Yaani Arusha na Mwanza wewe unaona mbali sana umefika wewe tu?. Umeulizwa Mbeya ijifunze nini Arusha uswazi?. Wanaume kuzidiwa kete na wanawake?. Au wanaume kupigwa na wanawake? Au ule uchizi wa wadudu sijui?
Anatokota tuu badala ya kujibu swali,Vimji vya hovyo hivyo Mbeya ikajifunze nini? Mwanza hata Barabara hakuna
 
Simama katika uhalisia na usiangalia eti Kwa sababu wewe ni WA mbeya ndio utetee Kila kitu hata kama ni kibovu..Mimi mwenyewe ni wa mbeya Ile sijafungwa Akili kiivyo..wake up brother.Mbeya Iko too far behind ya Mwanza na Arusha kimiundombinu na mpangilio wa makazi.
Miundombinu ipi ambayo Iko behind kushinda Mwanza na Arusha? Kuwa wa Mbeya Haina maana unaishi Mbeya unaweza kuwa ulishasepa kitambo so unadhani Mbeya Iko kama ilivyokuwa zamani.

Mbeya ikajifunze kipi Cha spesho Kwa Arusha& Mwanza?
 
Kuitetea mbeya Kwa udumavu ilionao haimaanishi kama ndio unaipenda sana mbeya ,mtu anayeipenda sana mbeya ni yule anayepiga kelele jitihada zifanyike Ili mbeya iwe na hadhi ya jiji kweli.Mkoa hauna Malls hata Moja,Miradi mingi mikubwa mbele inajengwa kizamani ..hebu angalia Jengo la uwanja wa ndege wa mbeya halina viwango vya kimataifa .Yaani miundombinu ya kisasa inajengwa as if miaka michache ijayo itakuja kubomolewa na kujengwa mingine ya kisasa zaidi kumbe ndio imetoka hiyo.
Kwamba hili Jengo la Songwe Airport (Mbeya) halina viwango vya Kimataifa? 👇👇
20240527_182041.jpg
20240527_182039.jpg
20240527_182046.jpg

Niletee Jengo kama Hilo Arusha& Mwanza Ili Mbeya ijifunze 🤣🤣🤣🤣

Mradi upi huo mkubwa wa Mbeya ambao unajengwa kizamani? Jiji likikosa Malls basi ndio haliitwi Jiji au? 😬😬
 
Miundombinu ipi ambayo Iko behind kushinda Mwanza na Arusha? Kuwa wa Mbeya Haina maana unaishi Mbeya unaweza kuwa ulishasepa kitambo so unadhani Mbeya Iko kama ilivyokuwa zamani.

Mbeya ikajifunze kipi Cha spesho Kwa Arusha& Mwanza?
Acha kukaza fuvu basi..Leo hii jiji letu la mbeya watu bado wanajenga nyumba Kwa kutumia matifali mabichi na fensi pia wanatumia matofali mabichi yakipigwa na mvua TU nyasi zinaota halafu ndio uje ufananishe na wenzetu..tukubali TU kuwa tupo nyuma jitahada zifanyike kukwamua mkoa.Mamlaka inayosimamia mipango miji imelala mno.Naamini Kuna watu wengi wa mbeya humu ambao wameshatembea hiyo mikoa niliyoitaja ..wanawacheka tu mnavyojitoa Akili.
 
Wenzenu kina nani ambao hawajengi nyumba za matope mjini? Unakuja Mbauda,Ilerai na mitaa mingine ya hovyo huko Arusha ?

Unaijua Mwanza na mabanda ya nguruwe Yale mule Kirumba,mabatini ,Mwanza South nk?

Mwisho matofali mabichi ya udongo wa Mbeya Yana shika zaidi kuliko matofali ya kuchoma.

Pili ulishawahi ona wapi Mji wowote hapa Duniani hauna Mitaa ya watu maskini Hadi Mbeya ionekane ya ajabu? Nitajie huo Mji basi.

Mwisho hakuna Cha kujifunza huko unakoshoboka,seems wewe ni mshamba hata hukujui vizuri?
 
Mawazo yako yanaathiriwa na conflict of interest ila ukweli utabaki pale pale wa are too far behind them
 
Mzee Mimi mbeya ni kwetu na nilikuwepo hapo juzi tu..hayo maghorofa ni ya kuhesabika ,machache sana na yapo scattered tofauti na wenzetu..Umeshawahi fika city centre ya Mwanza .?mbeya hata cjui city centre ipo wapi?
Yalikuwepo miaka 5 iliyopita? Na haya Je? 👇👇
IMG_20240726_183819_066.jpg
IMG_20240726_183619_222.jpg
IMG_20240727_071706_539.jpg
IMG_20240727_073439_648.jpg
IMG_20240727_072458_650.jpg

Hayo ni Baadhi tuu kati ya mengi yanayoota.Kuwa wa Mbeya Haina maana unaijua Mbeya vizuri na kama unaijua hizo picha nimepiga Mbeya sehemu gani?
 
jamaa yupo sawa
Usipangie watu Maisha,wewe ongea unayotamani yawe vinginevyo pita kushoto..

Mbeya ya Leo is way better than it used to be in 2010 wakati ikitangazwa kuwa Jiji..

Njoo 2025 pia kuandika utopolo wako maana by that time Barabara Kuu njia 4 itakuwa imeisha,Barabara za mitaa km 27 zitakuwa zimeisha na ujenzi wa Stand kubwa za Kisasa utakuwa unaendelea..View attachment 2656232

Njia 6 Kwa Sasa haipo sana sana Kuna mradi wa BRT mbeleni na njia ya Sasa ndio itakuwa reserved Kwa Ajili ya BRT..

Mbeya ipi ambayo watu hawajengi Makazi ya Kisasa? Wewe sema Serikali iongeze Kasi ya kupima Mji..

Kitu pekee nachokuunga mguu ni Chuo Cha Kilimo na JKT hapa Uyole wapishe waende Wilayani hayo maeneo yapimwe na yagawiwe viwanja kama ilivyo Kwa Forest au Iwambi Mpya,hakuna Cha NHC,hao NHC wakajenge Dodoma huk
jamaa yupo sawa ila mahaba na ubishi tu mbeya bado sanaaa kuwa jiji tena sanaaa mfano forest ya zamani imeachwa wazi ya michezo?
 
jamaa yupo sawa

jamaa yupo sawa ila mahaba na ubishi tu mbeya bado sanaaa kuwa jiji tena sanaaa mfano forest ya zamani imeachwa wazi ya michezo?
Sasa hapo ndio umeongea nini? Ili iwe Jiji inatakiwa iwaje labda?
 
Kati ya haya niliyoyaandika kuna hata moja lisilo la kweli?
Nimekuwa mbeya for years mzee tangu nipo sekondari. Kama hakutakuwa na namna tofauti ya kufikiria na kufanya mambo basi hakuna cha 2025 wala 2050 mzee.
Mji wa mbeya ni mji wa hovyo sana, mno.
Umeandika soko limejengwa kwa TZS 60 billions! Sasa bwamdogo kama unaweza kuongea uongo mkubwa kwa ujasiri kiasi hicho unadhani tutaweza kukushawishi ustaarabike?
 
Huyo ni hater ambae anasikia sana Raha kukana kwao 😬😬

Kama mnataka Mbeya ifanane na Dom waambieni watu wa Serikali wawekeze Mbeya kama wanavyojenga Mikoa Mingine.
 
Akili kubwa sana bro.

Back
Top Bottom