Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

1000263800.jpg
1000263799.jpg

Nyegezi
 
Miji mingi hapa Tanzania imekosewa kwenye kuipanga, siyo ajabu kuiona Mbeya jinsi ilivyo..lakini Cha kujiuliza, Je miji mingine inayopambanishwa na Mbeya ipoje? 😂😂😂😂
Dar Ina mpangilio mzuri? Dodoma? Arusha? Mwanza?
 
Mitaa mingi ya Mbeya imepangwa vibayo mno, alafu nyumba za matofali mabichi na mabati yenye kutu. Vichochoro kama vyote.

Ukiwa unaelekea Mbalizi kutoka 'mjini' ukiwa pale mlima wa iwambi unaiona mbalizi kama mnado wa ng'ombe kwa chini, uchafu mtupu.

Aisee Tukuyu na Kyela zimepangwa vizuri kuliko Mbeya mjini. Aibu tupu ile.
 
Onyesha nyumba hata Moja ya matope
 
Back
Top Bottom