Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

1000272992.jpg

Hapo ni mkolani pembezoni mwa mji ndo unapata vijengo kama hivyo
 
Huo ni mtaa mmoja tu unawatoa kamasi bado hatujaingia mitaa mingine battle ya Mwanza na Mbeya ni uonevu tu mengine unajifariji tu nyie pambaneni na morogoro huko maana hata iringa amuigus

Huo ni mtaa mmoja tu unawatoa kamasi bado hatujaingia mitaa mingine battle ya Mwanza na Mbeya ni uonevu tu mengine unajifariji tu nyie pambaneni na morogoro huko maana hata iringa amuigusi
Mbeya ni pa hovyo bana acha kulazimisha watu.

Mara yangu ya kwanza nimefika Mbeya nilimuuliza mwenyeji wangu mara 10 kuwa pale ni Mbeya kweli au?

Halafu tembeeni hata hapo South Africa hutakuja humu kupoteza muda wako kusema Mbeya ni Jiji. Mbeya ni pori tengefu hakuna Jiji humo.

Unajidhalilisha.

Post humu mitaa na Barabara za mitaani wabapokaa mamilion ya watu sio kupost mbuga na mahototeli.

Dunia nzima hakuna hoteli mbovu.

Badala upost mitaa mnayokaa unapost hotel ambazo hata wewe ukute kwenda ni mbinde.
 
Bro umemaliza kabisa
 
Hater 😁😁

Mbeya 👇👇

View: https://x.com/VwalaViola/status/1672902575568429058?t=hOT1AAP9SFh417UAf9OXGg&s=19
 
Back
Top Bottom