ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Bado hujasema Hadi useme.Jamaa anajidharirisha tu, hizo nyumba niza kupost humu kweli daaah?
Tuliza wenge ππππAibu
Buhongwa CBD,Mbeya ππππCBD yao huku ni kama buhongwa
Moto π₯π₯π₯ππView attachment 3114720
Hapo ni mkolani pembezoni mwa mji ndo unapata vijengo kama hivyo
Huo ni mtaa mmoja tu unawatoa kamasi bado hatujaingia mitaa mingine battle ya Mwanza na Mbeya ni uonevu tu mengine unajifariji tu nyie pambaneni na morogoro huko maana hata iringa amuigus
Mbeya ni pa hovyo bana acha kulazimisha watu.Huo ni mtaa mmoja tu unawatoa kamasi bado hatujaingia mitaa mingine battle ya Mwanza na Mbeya ni uonevu tu mengine unajifariji tu nyie pambaneni na morogoro huko maana hata iringa amuigusi
Bro umemaliza kabisaMbeya ni pa hovyo bana acha kulazimisha watu.
Mara yangu ya kwanza nimefika Mbeya nilimuuliza mwenyeji wangu mara 10 kuwa pale ni Mbeya kweli au?
Halafu tembeeni hata hapo South Africa hutakuja humu kupoteza muda wako kusema Mbeya ni Jiji. Mbeya ni pori tengefu hakuna Jiji humo.
Unajidhalilisha.
Post humu mitaa na Barabara za mitaani wabapokaa mamilion ya watu sio kupost mbuga na mahototeli.
Dunia nzima hakuna hoteli mbovu.
Badala upost mitaa mnayokaa unapost hotel ambazo hata wewe ukute kwenda ni mbinde.
Bado hujasema Hadi useme.
Tukutane Juakali ππ
View: https://x.com/Visitmbeya/status/1833446432818290690?t=MN7cBGQpsAxDZZNStMLOHQ&s=19
Umeanza hotel tena hahaha lete hayo mrudio
Umeanza hotel tena hahaha lete hayo mrudio
Hater ππMbeya ni pa hovyo bana acha kulazimisha watu.
Mara yangu ya kwanza nimefika Mbeya nilimuuliza mwenyeji wangu mara 10 kuwa pale ni Mbeya kweli au?
Halafu tembeeni hata hapo South Africa hutakuja humu kupoteza muda wako kusema Mbeya ni Jiji. Mbeya ni pori tengefu hakuna Jiji humo.
Unajidhalilisha.
Post humu mitaa na Barabara za mitaani wabapokaa mamilion ya watu sio kupost mbuga na mahototeli.
Dunia nzima hakuna hoteli mbovu.
Badala upost mitaa mnayokaa unapost hotel ambazo hata wewe ukute kwenda ni mbinde.
We jamaa acha bangi π€£
Wewe umeacha? Bado hujasema Hadi useme .We jamaa acha bangi π€£
usitake ligi na mimi
Wenzako wamenikimbia ,Kwa ligi hapa ndio umefikausitake ligi na mimi