Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Umechanganikiwa mmepima Yale mawe? Dar yenyewe ni jiji ukilinganisha na majiji gani afrika?
 
Bwashee lete mrejesho
 
Simiyu imepangwa vizuri njoo uishi
 
Dodoma inajengwa kwa msaada wa serikali, nani willingly angechagua kukaa jangwani, na wenye mji wa dodoma wagogo wengi ni ombaomba na wafanyakazi wa ndani
Unaijua jangwa wewe? Kabla ya kuwa Capital City Dom ilikuwa na watu wengi kushinda Mbeya.

Kama ni jangwani walikuwa hapo kufuata nini? Mnakadirishwa mambo ya kijinga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…