Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Mbeya ndio hapa
Muache kuuponda mkoa wetu. Tunajisikia vibaya [emoji28][emoji28][emoji28]
Screenshot_2023-06-26-21-06-28-124_com.google.android.apps.maps.jpg
Screenshot_2023-06-26-21-06-43-048_com.google.android.apps.maps.jpg
Screenshot_2023-06-26-21-06-54-807_com.google.android.apps.maps.jpg
Screenshot_2023-06-26-21-07-08-773_com.google.android.apps.maps.jpg
Screenshot_2023-06-26-21-07-26-895_com.google.android.apps.maps.jpg
Screenshot_2023-06-26-21-07-41-542_com.google.android.apps.maps.jpg
Screenshot_2023-06-26-21-07-54-748_com.google.android.apps.maps.jpg
Screenshot_2023-06-26-21-08-11-127_com.google.android.apps.maps.jpg
Screenshot_2023-06-26-21-08-28-050_com.google.android.apps.maps.jpg
Screenshot_2023-06-26-21-08-55-837_com.google.android.apps.maps.jpg
Screenshot_2023-06-26-21-09-18-240_com.google.android.apps.maps.jpg
 
Usibishane na Mimi kwa picha mbeya Haina hadhi ya kulinganishwa na either Dodoma, Mwanza au Arusha . Hata iringa is far better than Mbeya kuwa na akili basi the sunk.
Mbeya imezidiwa na Dodoma.na.Adusha Kwa kuwa huko hakuna mabanda ya nguruwe ila Mwanza ni trash full mabanda ya nguruwe tupu Haina hadhi ya kuisema Mwanza.
 
Mbeya imezidiwa na Dodoma.na.Adusha Kwa kuwa huko hakuna mabanda ya nguruwe ila Mwanza ni trash full mabanda ya nguruwe tupu Haina hadhi ya kuisema Mwanza.
We Mbeya Ina nyumba au Ina vibanda vimejaa vumbi na kutu. Dogo unajielewa lakini au hata haujavunja ungo unatusumbua tu 😀😀😀😀
 
We Mbeya Ina nyumba au Ina vibanda vimejaa vumbi na kutu. Dogo unajielewa lakini au hata haujavunja ungo unatusumbua tu 😀😀😀😀
Usinichoshe Mwanza imejaa mabanda ambayo huwezi yakuta Mbeya.
Sweet Mbeya 👇


Watu mnaishi huko mabanda ya nguruwe hata hakufikiki na Mji wote unanukia shombo ya samaki hovgo kabisa
 
Usinichoshe Mwanza imejaa mabanda ambayo huwezi yakuta Mbeya.
Sweet Mbeya 👇


Watu mnaishi huko mabanda ya nguruwe hata hakufikiki na Mji wot
dsc_0306.jpg
IMG_20230223_100223.jpg
Screenshot_20220831-232510 (1).png
/ATTACH]e unanukia shombo ya samaki hovgo kabisa

_20220624_192907.JPG
_20220620_235059.JPG
dsc_0306.jpg
IMG_20230223_100223.jpg
Screenshot_20220902-224021_2.png
Screenshot_20220831-232510 (1).png

Nitakuchosha kweli sinaga kazi ndogo Mimi. Jitahidi umalize mwendo
 
Mbeya nzima Jiji I mean inasomeshwa na nyegezi tu kwa upande wa Mwanza. Nasema Tena pale hakuna Jiji
 
Ni kweli kabisa ukiacha vyakula vya kumwaga Mbeya jiji haijapangika...mi bora nikaishi Tukuyu au Kyela huko...huko ndo evergreen...
Yani mwezi wa 8 nakumbuka wakati tunasoma huko lile vumbiii yani uwiii...lami ipo mjini tuu barabara zile kubwa..pazuri ni Forest...
Mbeya tunashukuru kwa kutulisha nchi nzima..na tunawapenda..ila makazi bado mnoo
 
Moja kwa moja kwenye mada;

Wenyewe wanaita green city, hii sio kweli . Jina linatakiwa liwe Dusty City.
Hivi pamoja na Hali ya hewa nzuri kitu gani kinazuia halmashauri ya mji kuwa na mipango ya upandaji wa miti ?

Mji wa Mbeya ni kati ya miji mikubwa (Kwa eneo na idadi ya wakazi) Lakini maisha ya mbeya kwa ujumla ni typical kijijini. No order , hakuna ustaarabu, chaotic , vumbi, makelele , watu wanapita na magari ya matangazo ya kila aina Hadi ya misiba. Hawa NEMC badala ya kudeal na kidimbwi na kitambaa cheupe kwanini huku hamuoni?

Mbeya hakuna usafiri wa Taxi , Bajaji ni nyingi kuliko abiria na hazina route yaani kokote anaenda. Daladala routes ni mbili tu Mjini Mbalizi au Mjini Uyole. Ikifika saa tatu usiku basi wewe daka boda uende uendako.

Mbeya hakuna hadhi wala mwonekano wa jiji, tofauti kabisa na Arusha au Mwanza, Mji mzima hakuna hata sehemu ya kufanya matembezi ? Mbeya nyumba za tope zimetapakaa kuanzia uyole, sae, hadi soweto makunguru hadi nzovwe na iyunga.. huko mbalizi ni balaa lingine.

Inashangaza kuona 2023 katikati ya mji serikali inajenga fremu za kupangisha. That’s so annoying.
Why not some modern Structure like a shopping mall?

Hivi mna uhakika hawa viongozi wa halmashauri ya mji wa Mbeya walienda shule kweli? Miaka kadhaa ya nyuma kulikuwa na Fursa ya kujenga Soko la kisasa au shopping mall pale mwanjelwa jamaa wa huko halmashauri ya mji wakaja na lidude la kizamani (structure nzee ya miaka ya 1700s huko) tena kwa mabilioni ya pesa, baada ya pale SIDO kuungua tukajua watakuja na kitu cha tofauti, wapi. Yaleyale.

Picha: Mwonekano wa juu wa mji wa mbeya.


Fremu za Biashara zinazojengwa na Halmashauri ya jiji la mbeya katikati ya mji (CBD)


Jengo la soko la mwanjelwa lililojengwa kwa gharama kubwa (bilioni 60+) pesa za walipakodi

Eneo la kabwe, hapa jioni hugeuka gulio.. hapa unahitaji tu kuwa na bidhaa..nenda kabwe then mwaga chini uza. Vurugumechi.

Miundombinu ni duni sana, duni mno . Barabara ni moja tu ya TAZAM Highway inayopita mjini ambayo ni chakavu sana na ni moja (Sio Dualed). Mbeya si rafiki wa watembea kwa miguu sababu utagongwa muda wowote kama sio na bajaji basi bodaboda. Hakuna jogging Mbeya.

Kwa upande wa huduma za Afya mbeya pako [emoji817]. Mengine ni hovyo kabisa..

Ushauri:
1. Mradi mpya wa barabara ya njia nne toka uyole hadi Uwanja wa ndege ufanyike njia sita maeneo ya Mjini kupunguza foleni, na pia kuwe na provisions za watembea kwa miguu, pale mafiati kuwe na interchange kurahisisha traffic na angalau tusifikirie kubomoa na kujenga tena kwa miaka 15 ijayo.

2. Zijengwe nyumba za kisasa za makazi sehemu kama airport ya zamani. Pia kile chuo cha kilimo kitoe yale mashamba kwa NHC na zijengwe affordable houses nk. Mashamba hayatakiwa mijini. Nchi ina mapori mengi sana

3. Upandaji wa miti iwe ni kipaumbele. Walau kupunguza lile vumbi mjini. Watoto wa shule za misingi na sekondari can easily do this bila hata gharama.

5. Think Big. Jiji linaweza kuanza kufikiria kuwa na reli nyepesi ya abiria toka uwanja wa ndege wa Songwe hadi Uyole, na kubranch pale Meta ikaenda hadi mjini na kuja kutokea mwanjelwa. Kwa Jografia ya mji wa mbeya reli hii itarahisisha usafiri kwa zaidi ya 80% ya mahitaji ya usafiri wa mjini.

6. Maeneo ya wazi yawepo. Hii in muhimu sana.
NB: Mimi sio mwandishi wa wa habari.

Mbeya ni kubwa kuliko Zanzibar pia ina watu wengi kuliko Zanzibar, lakini Zanzibar ni nchi, kwa hiyo usishangae, Mbeya ina jengo la ghorofa 5 Zanzibar haina, lakini Zanzibar ni nchi, Mbeya ina uwanja mkubwawa ndege kuliko wa Zanzibar lakini Zanzibar ni nchi, uchumi wa Mbeya ni mkubwa kuliko wa Zanzibar lakini Zanzibar ni nchi labda wametuzidi kwa kuwa na akina Jussa wengi.
 
Back
Top Bottom