Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,815
- 2,651
Kijiji kikubwa kikiwakilisha nyanda za juu kusini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijiji kikubwa kikiwakilisha nyanda za juu kusini
Ubora wake upo kwenye miji yake ni mizuri kuliko likijiji la mbeyaUbora wake uko kwenye nini wa hizo Manispaa 😂😂
Bado sanaKinafanana na Kijiji gani kwingine kikubwa chenye watu wengi? 👇👇View attachment 3090002View attachment 3090003View attachment 3090004View attachment 3090005View attachment 3090006
Bado sana kulinganisha na wapi? 😂😂Bado sana
Uzuri wake ni upi kulinganisha na Mbeya? Je uzuri ni objective or subjectiveUbora wake upo kwenye miji yake ni mizuri kuliko likijiji la mbeya
Kijiji gani kwingine Cha huko kwenu kina Uchumi mkubwa kushinda Kijiji Cha Mbeya? 👇👇Kijiji kikubwa kikiwakilisha nyanda za juu kusini
Ukitaja Dar ndo akili yako inakutuma kuamini kuwa umemjibu ipasavyo?.Cha ajabu ni kipi hapo? Dar hujawahi kutana nazo?
Ndio.Mfano Mwanza Kuna mapunda mjini inamaana sio Jiji?Ukitaja Dar ndo akili yako inakutuma kuamini kuwa umemjibu ipasavyo?.
Na hiyo Dodoma ipo wapi?Kijiji gani kwingine Cha huko kwenu kina Uchumi mkubwa kushinda Kijiji Cha Mbeya? 👇👇View attachment 3090062View attachment 3090063
Mapunda yapo Arusha ni baiskeli zao za kuchotea maji, Dar Kuna mbuzi ulienda buguruni sheli, malapa n.k utakutana nao sana. Unataka kusemaje na hapoNdio.Mfano Mwanza Kuna mapunda mjini inamaana sio Jiji?
Mwanza ishindwe Geita ndio itaweza? 😂😂😂
Mwanza ishindwe Geita ndio itaweza? 😂😂😂
View: https://www.instagram.com/p/C2IPEPUq9oX/?igsh=MW96ZGM4cDF6YTdhcg==
Hizo ni gesti labda Geita ishindane na Makambako
Unatia aibu ,Sasa hapo utashindanishaje Mji na Jiji? Nataka Mbeya vs Mwanza.
Mwanza ishindwe Geita ndio itaweza? 😂😂😂
View: https://www.instagram.com/p/C2IPEPUq9oX/?igsh=MW96ZGM4cDF6YTdhcg==
Geita Kuna hata Tawi la Chuo Kikuu chochote?👇👇View attachment 3090095
Watoto wa chekechea wanasomea humo mbeya ni jengo la chuo kikuu
Mwanza na mbeya umerogwa Nini wewe. Geita yenyewe huiwezi pengine nikuletee shinyangaUnatia aibu ,Sasa hapo utashindanishaje Mji na Jiji? Nataka Mbeya vs Mwanza.
Nimekwambia weka hospital yeyote ya private kama hii hapa umeshindwa View attachment 3090096