Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

View attachment 3090158
Taasisi za kidini nazo hazipo nyuma
Kusanywa tumajengo twenu twote ila si Mwanza Wala Kijijini Geita inaweza fika hapa kwa K's Hospital Mbeya
20240422_214617.jpg
 
Tungewauliza kwanza ao wamama wanaouza viazi apo kabwe wanataka ayo malami, azawaizi SOKA APO APA mwaisa alaah, unaleta mkyeso na maisya ja watu!!! Jografiko lokesheni!!!
 
Kijiji gani kwingine Cha huko kwenu kina Uchumi mkubwa kushinda Kijiji Cha Mbeya? 👇👇View attachment 3090062View attachment 3090063
Izo billion zinakusanywa kila mwaka lakini hazinufaishi wananchi wake. Ikiwemo miundo mbinu ya elimu bado mibovu, barabara mjini mbeya vumbi tu, usiseme wilayani mfano rungwe na busokelo kipindi cha mvua hakupitiki nauli zinapanda mara dufu

Hizo fedha zingekuwa zinatumika ata nusu yake tu inatosha kabisa kabisa kubadili vitu vingi jiji la mbeya
 
Ulitaka zikunufaishe Kwa kugawiwa au? How hazikunufaishi?
 
Mbeya inazidi Mwanza mambo yafuatayo
-Idadi ya Vyuo Vikuu
-Private Hospitals Kubwa
-Stesheni Kali ya reli
-Uchumi wa Mtu mmja mmja,Jiji la Mbeya Lina Mapato makubwa kuliko Jiji la Mwanza
-Uzuri na Mandhari ya Jiji
-Uwanja wa ndege mzuri,mkubwa na mkali
-Viwanda
-Mbeya Haina mauswazi na mabanda kama Mwanza(Slums).

Cc laizerg
Kupata vichekesho hivi tunabonyeza ngapi
 
Back
Top Bottom