Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

View attachment 3090563
Kwa Tanzania Hawa jamaa wapo mwanza na dsm tu.
Hii ni zahanati Jamaa amepanga room Hapo gorofani πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Nataka Jengo Zima linalomilikiwa na Hospital kama hii K's Referral Hospital Mbeya πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C5Vz205NAGX/?igsh=OHlpMHljNnZ0c3o5
20240422_214617.jpg
 
Umeshindwa kuleta items 2 tuu za Hospital na Vyuo ndio itaweza nini? πŸ˜†πŸ˜†

Mbeya is next level driven by determined residents no mneleko ya serikali kule.

Ingekuwa Mwanza tusingekunywa maji humu πŸ˜†πŸ”₯πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://x.com/Visitmbeya/status/1814323908293632480?t=gdJUItnKmG3BYJfAKqV5zQ&s=19

Hapa kwetu hii hotel ya kawaida mno. Ndo maana nimekuambia ukitaja mwanza mjikusanye wote huko wote na Bado hutakuta mahala Kuna kitu kama hiki huko.
images (33).jpeg
 
images (38).jpeg
images (39).jpeg

uanze kujibu Moja baada ya nyingine kesho narudi Geita
 
Back
Top Bottom