Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Unawazimu wewe
Wazimu wa nini? Tulipa nikupe dose na vile hicho kiziwa chenu hakunaga beaches za maana 🤣🤣

Bado hujasema Hadi useme👇👇

View: https://x.com/Visitmbeya/status/1809984231122391443?t=zCFJLAWSdDAI5RCeOB-wjg&s=19
20240909_072140.jpg
20240909_072400.jpg
20240909_072231.jpg
20240909_072348.jpg
20240909_072203.jpg
 
Ingiza na Dodoma na mikoa yote ya kusini ni kushyete. Hotel tu Bado 50 zijaziweka humu zile za class ya juu.
 
Ingiza na Dodoma na mikoa yote ya kusini ni kushyete. Hotel tu Bado 50 zijaziweka humu zile za class ya juu.
Acha kuweweseka sijakutuka uiguse Mbeya,nilishakwambia hakuna kitu Mwanza inashinda Mbeya.

Tulia upate dozi Yako umeyatimba mwenyewe 😆😆😆👇👇

View: https://x.com/Visitmbeya/status/1753870721590153600?t=2fCc2ghm2WrijImz24eRqg&s=19

View: https://x.com/mhdhamad/status/1755307272941502851?t=cUd4BZpWjFxgjz0J2mNp0g&s=19
20240909_073832.jpg
20240909_073941.jpg
20240909_073856.jpg

My Take: Hicho Kimwanza Nje ya hapo Mjini ,Wilaya zingine zimejaa minada na mifugo harafu unataka ishindane na Mbeya,Igawilo Kwa kina Sativa mliowateka 😆😆🤪🤪👇👇

View: https://x.com/Visitmbeya/status/1752595425016574191?t=KEQVdyFIYXE46QfZDPbk1A&s=19
 
Unaleta mashamba ya mpunga
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mbona umerudisha taulo mapema sana? Bado sijaanza ku post Rungwe,Chunya na Busokelo Niko Mbeya City outskirts.

Mbeya 👇👇
20240909_075254.jpg
20240909_075259.jpg
20240909_074335.jpg
20240909_075138.jpg
 
Acha kuweweseka sijakutuka uiguse Mbeya,nilishakwambia hakuna kitu Mwanza inashinda Mbeya.

Tulia upate dozi Yako umeyatimba mwenyewe 😆😆😆👇👇

View: https://x.com/Visitmbeya/status/1753870721590153600?t=2fCc2ghm2WrijImz24eRqg&s=19

View: https://x.com/mhdhamad/status/1755307272941502851?t=cUd4BZpWjFxgjz0J2mNp0g&s=19
View attachment 3091012View attachment 3091013View attachment 3091014

My Take: Hicho Kimwanza Nje ya hapo Mjini ,Wilaya zingine zimejaa minada na mifugo harafu unataka ishindane na Mbeya,Igawilo Kwa kina Sativa mliowateka 😆😆🤪🤪👇👇

View: https://x.com/Visitmbeya/status/1752595425016574191?t=KEQVdyFIYXE46QfZDPbk1A&s=19

Nimekuambia unganisha mapori yote ya huko njoo mpaka Dodoma nikushenyete
 
Unaleta vichaka na mashamba Mimi sifanyagi battle za kitoto
Nimekuambia unganisha mapori yote ya huko njoo mpaka Dodoma nikushenyete
Ila wewe ni mshamba sijawahi ona yaani tented Camp hotels unaita vichaka 🤣🤣

Ndio shida ya kwenda kulala gests unaita hotels.Nimeangalia picha zote ulizoleta ni mavyumba vya guests tuu nothing else 🤪🤪🤪👇👇

Lupa way Mbeya

View: https://x.com/Visitmbeya/status/1750760290134716830?t=7AJgIkwxzHyOpcQX9kGnog&s=19
20240909_075003.jpg

20240909_083311.jpg
20230717_205130.jpg
 
Hakuna Cha maana umetuma zaidi ya guests unazoita hoteli, umewahi lala hata hotelini wewe? 🤣🤣.

Anyway umeshindwa hoteli tuanze Ligi ya Vyuo Vikuu.

CuOM 👇👇

View: https://x.com/Visitmbeya/status/1747517897008910716?t=epdDiKXyyXXqOfRvHBTG5g&s=19

My Take: Ujenzi unaenda pale New Forest View attachment 3091051View attachment 3091052View attachment 3091053View attachment 3091054View attachment 3091055View attachment 3091056View attachment 3091057View attachment 3091058

Tutakuacha uendelee na porojo zako ila jua hakuna Jiji hapo.
 
Punguza ushamba ,yaani hapo kagorofa Hako kamoja umepigwa picha 6 😆😆😆😆

Anyway jifunze hapa 👇👇

View: https://x.com/Visitmbeya/status/1742404406375579774?t=A8w2fG6pw0oy9GOM8SWhLg&s=19
20240909_081558.jpg
20240909_081546.jpg
20240909_081552.jpg
20240909_081541.jpg
20240909_081524.jpg
20240909_081456.jpg
20240909_081254.jpg
20240909_081257.jpg
20240909_081244.jpg
 
Back
Top Bottom