Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

1000206823-jpg.3091420
 
Mbeya na songea zinautofauti Gani? Maana nikisema Iringa inaikunja mbeya mbali mno kwa majengo na usafi wa mji, vyuo vikuu, vya kati na chini, bara bara
Shida ya Mbeya ni unplanned lakini kuzidiwa na hizo manispaa 2 bado sana. Iringa ni pazuri na napapenda, majengo yao makubwa yapo sehemu moja na panapendeza. Mbeya maghorofa yake yapo scattered, hawajengi eneo moja lakini kwa idadi ni mengi kuliko Iringa. Iringa kuna vyuo vikubwa 3 Rucu, Mkwawa & Tumaini wakati Mbeya vyuo vikubwa ni TEKU, MUST, Mzumbe, Udsm- Mchas, TIA, CUOM & CBE.

Laiti kama Mbeya wangekua wanajenga sehemu moja ingependeza sana
 
Mbeya na songea zinautofauti Gani? Maana nikisema Iringa inaikunja mbeya mbali mno kwa majengo na usafi wa mji, vyuo vikuu, vya kati na chini, bara bara nzuri n.k
Mwanza nzima huwezi Kuta Barabara Zenye mandhari Kali kama hizi za Mbeya 👇👇
20240916_180755.jpg
20240916_180801.jpg
 
Mtoa hoja yuko sahihi sana.Badala ya kushambuliwa kwa maneno makali na ya kejeli inabidi apongezwe kwa kuanika hali mbaya iliyopo mbeya .Sio kila anayekukosoa hakupendi,mwingine anakukosoa ili uwe bora zaidi..na ndio lengo la mtoa hoja.Maana hajakosea tu ,katoa na baadhi ya solutions..kiufupi mtoa hoja anaumizwa sana na mazingira mabovu yaliyopo mbeya.Mnaojiita wenye mbeya yenu ifikie wakati muweke mihemko pembeni na muangalia uhalisia uliopo,otherwise mbeya itaendelea kuwa kijiji kikubwa milele.Juzi umisainiwa mktaba wa kujenga stendi mpya,ila desing za hiyo stendi inayoitwa ya kisasa ni vichekesho,inaonekana kama stendi ya miaka 47 huko.Ifike mahali mbeya iamke,kwa nini hamtaki kujifunzi kwa maijiji makubwa kama Mwanza na Arusha.Wengi waliocomment humu wanaonekana kabisa wana mawazo primitive(stagnant) ndio mana mkoa wa mbeya maendeleo yake yako slow sana.Mimi mwenyewe ni mwenyeji wa mbeya ila nimeshangaa sana kuona watu wanamkosaoa mtoa hoja,nikajisemea kimoyo moyo kwa akili hizi mbeya tusahahu kabisa maendeleo na kuwa jiji kubwa.
 
Mbeya na songea zinautofauti Gani? Maana nikisema Iringa inaikunja mbeya mbali mno kwa majengo na usafi wa mji, vyuo vikuu, vya kati na chini, bara bara nzuri n.k
Iringa ni kamji kadogo sana, hata kwa mguu unakamaliza, afu barabara kama ile ya kuelekea Dodoma kwa huku dar ni kama barabara ya mtaa
 
Mtoa hoja yuko sahihi sana.Badala ya kushambuliwa kwa maneno makali na ya kejeli inabidi apongezwe kwa kuanika hali mbaya iliyopo mbeya .Sio kila anayekukosoa hakupendi,mwingine anakukosoa ili uwe bora zaidi..na ndio lengo la mtoa hoja.Maana hajakosea tu ,katoa na baadhi ya solutions..kiufupi mtoa hoja anaumizwa sana na mazingira mabovu yaliyopo mbeya.Mnaojiita wenye mbeya yenu ifikie wakati muweke mihemko pembeni na muangalia uhalisia uliopo,otherwise mbeya itaendelea kuwa kijiji kikubwa milele.Juzi umisainiwa mktaba wa kujenga stendi mpya,ila desing za hiyo stendi inayoitwa ya kisasa ni vichekesho,inaonekana kama stendi ya miaka 47 huko.Ifike mahali mbeya iamke,kwa nini hamtaki kujifunzi kwa maijiji makubwa kama Mwanza na Arusha.Wengi waliocomment humu wanaonekana kabisa wana mawazo primitive(stagnant) ndio mana mkoa wa mbeya maendeleo yake yako slow sana.Mimi mwenyewe ni mwenyeji wa mbeya ila nimeshangaa sana kuona watu wanamkosaoa mtoa hoja,nikajisemea kimoyo moyo kwa akili hizi mbeya tusahahu kabisa maendeleo na kuwa jiji kubwa.
Upo sahihi sana mkuu. Niligundua kwa aina ya madiwani tunaochagua ni ngumu sana kuendelea, wana exposure ndogo sana. NHC walitaka wajenge mall pale lilipokua soko la uhindini lakini mradi ulikwamishwa na madiwani eti wanawalinda wajasiriamali wadogo. Wanawaza kujenga fremu tuu, pale city park wamejaza mifremu mingi wanadhani ndio maendeleo.

Hakuna sababu ya kuruhusu bajaj zizagae kila sehemu mjini. ni ngumu sana kwa mgeni kuipenda mbeya, Tuko so disorganized. Walikubaliana mwanjelwa ndio iwe cbd na wasiruhusu majengo mapya kujengwa kama sio ghorofa lakini kila siku kuna ujenzi mpya wa vifremu sijui wanapewaje vibali.

Hii aka ya green city tuachane nayo , ni ama tujiite Vumbi city au Bajaj city 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mbeya ijifunze nini Kwa Mwanza na Arusha ambacho ni spesho? Wewe uko Mbeya au inasimuliwa? Unadhani Mbeya Iko stagnant kama unavyohadithiwa humu jukwaani au? 🤣🤣
 
Tangu lini Bajaji zikawa tatizo Mjini? In fact napenda usafiri wa aina mbalimbali badala ya kurundikana kwenye madaladala ,Kila mtu achague anaoupenda.

Pili pattern ya Mbeya ni Linier inategemea Barabara kuu Moja ,so no way kuwa na njia za Nje ya Mji maana kwanza hazipo labda kama zinazojengwa Sasa zitakuwa tofauti.

Mwisho kule Uhindini Kwa Sasa hajufai biashara labda residential apartments,hostels na Ofisi za Umma, biashara zote zimehamia Tanzam Roads.

Mimi naipenda Mbeya
 
Kwa huu ubishi wako nadhani haujapata exposure ya kutembea mikoa mikubwa..otherwise utakuwa na asili ya ubishi TU..na haisaidii kitu maana itafanya mkoa was mbeya uendelee kuwa nyuma miaka yote Kwa mentality kama zako.
 
Jibu swali ,Mbeya ijifunze kipi Cha maana huko Mwanza & Arusha?

Hakuna Mji mkubwa sijatembea hapa Tanzania,Bora ungesema ijifunze Dodoma na Dar ila sio huko uswazini.

Unaijua Mbeya au na wewe unasimuliwa?
 
Kuitetea mbeya Kwa udumavu ilionao haimaanishi kama ndio unaipenda sana mbeya ,mtu anayeipenda sana mbeya ni yule anayepiga kelele jitihada zifanyike Ili mbeya iwe na hadhi ya jiji kweli.Mkoa hauna Malls hata Moja,Miradi mingi mikubwa mbele inajengwa kizamani ..hebu angalia Jengo la uwanja wa ndege wa mbeya halina viwango vya kimataifa .Yaani miundombinu ya kisasa inajengwa as if miaka michache ijayo itakuja kubomolewa na kujengwa mingine ya kisasa zaidi kumbe ndio imetoka hiyo.
 
Jibu swali ,Mbeya ijifunze kipi Cha maana huko Mwanza & Arusha?

Hakuna Mji mkubwa sijatembea hapa Tanzania,Bora ungesema ijifunze Dodoma na Dar ila sio huko uswazini.

Unaijua Mbeya au na wewe unasimuliwa?
Tatizo lako unahisi unaitetea mbeya kumbe ndio unaidumaza..hivi unaijua vizuri Mwanza au unaongea Ili kufurahisha moyo wako.
 
Kwa huu ubishi wako nadhani haujapata exposure ya kutembea mikoa mikubwa..otherwise utakuwa na asili ya ubishi TU..na haisaidii kitu maana itafanya mkoa was mbeya uendelee kuwa nyuma miaka yote Kwa mentality kama zako.
Jibu swali. Yaani Arusha na Mwanza wewe unaona mbali sana umefika wewe tu?. Umeulizwa Mbeya ijifunze nini Arusha uswazi?. Wanaume kuzidiwa kete na wanawake?. Au wanaume kupigwa na wanawake? Au ule uchizi wa wadudu sijui?
 
Back
Top Bottom