Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Kwamba alienda kihuni kuchukua fomu?Waache kwenda Kihuni, Mbeya si sehemu ya Kufanyia Uhuni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba alienda kihuni kuchukua fomu?Waache kwenda Kihuni, Mbeya si sehemu ya Kufanyia Uhuni.
Asante sana. Nashukuru ndugu yangu.
Maisha yetu ni mafupi sana Duniani, na hakuna mwanadamu aliye na miliki nayo ya kudumu. Tenda kila jema uwezalo, jitahidi kuukwepa uovu maana adhabu ya mwovu daima ipo.
Ni wapumbavu tu ndio hufikiria kumkomoa mwanadamu mwenzake. Mwenye hekima kila siku huongeza marafiki lakini mjinga huongeza maadui bila kujua kuwa kuongeza maadui ni kuimarisha milki ya maadui, na miliki ya maadui iliyojengeka ndiyo adhabu yake mwenyewe.
Kim Jong Il alitawala kwa upanga wa moto huko Korea ya Kaskazini. Lakini kwa muda mrefu aliteseka na ugonjwa ambao ulimwondoa katika umri wa mapema. Wapinzani wake waliteseka kwa kukosa uhuru lakini yeye aliteseka kwa magonjwa. Wabaya wake aliwaondoa kwa risasi, naye aliondolewa kwa tatizo la kiafya. Ukweli ni kuwa yeye na wahanga wake, wote waliteseka na wote walikufa.
Sasa hivi ni Kiduku, bado kijana kabisa. Ametesa na ameua lakini naye anateseka.
Kanuni ni moja, huwezi kutesa bila kuteseka, huwezi kuua halafu ukaishi maisha marefu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Very selective law it fits like OJ Simpson's gloves. Let it be....The law demands getting police consent before you decide to gather in public area, not long ago the message was emphasised by IGP on national television and reiterated by media the next day.
So wether you believe the whole thing is ridiculous by merit still there is a law which must be respected.
Sugu has only himself to blame for the most part.
Wanapima upepo wa kulazimisha Tulia atulie kwny kiti Cha Jimbo octoberHizi mbinu ovu zilitabiliwa, zinaanza kuonekana kama zilivyotabiliwa.
Na bado tutasikia na kuona mengi. Muda utaongea
Lissu atawaponza wengi huu uhamasishaji wake wakutaka watu wasindikizwe ni kucheza bahati nasibu na polisi.
Pamoja na makosa ya Sugu, lugha aliyotumia polisi kwa kweli ni very provocative, iliyokosa staha na si lugha ya kiaskari. Ata mabosi wake wakitetea lugha wananchi tutashangaa.
The whole arrest procedure is wrong, lakini huyu Lissu atawaletea watu matatizo.
Na Picha iko wazi. Sugu alikuwa tayari ameshakabidhi fomu zake kwa msaidizi ili kutii agizo la polisi. Mbona hao polisi hawatumii busara hata ndogo. Hapo Sugu kila dalili iko wazi ni mtiifu wa sheria, tatizo hizo lugha za Polisi.
Kama kuna maelekezo vile, hata angepigiwa simu angeenda Polisi. Uvumilivu una mwisho.
Polisi nyinyi ni sehemu ya jamii, msijisahau ndio kwanza mkoko unaalika maua.
Sana sana naweza kumeza jiwe sio mtu.... 😀😀M
Mkuu Wangu Una Maneno Makali na MATUSI loooh Shusha Pumzi Mkuu Wangu Mana unaweza UKAMMEZA MTU...
Amani Amani Amani Amani Amani.
Jioni Njema Mkuu Wangu
kwani tulia amewaenda pekee yake kwenye function zote za harakati zake kutengeneza mazingira ya kushawishi wapiga kura kwanini dabo standardInawezekana mimi na wewe tukawa tunajipotosha kwa kutegemea majibu huko google
Hapa unapaswa kutupa mwanga huko tukaongezee tu
Hairuhusiwi na nani.. mbona Katiba inaruhusu?Kaenda na maandamano kuchukua fomu wakati hairuhusiwi
Sio rc mkuu bana nazungumzia kidudumtu tuliaAaagh mkuu acha kumzushia Banaa,Kweli Mh.RC alisema hayo?!!!!
Mkuu mtu yeyote aliewahi fanya kazi ya security ata kwenye mall huko ulipo anajua how to approach a scene and appropriate amount of force to use uitaji Sirro akwambie hilo.
Ata mtu anaetaka kujua haki zake mbele ya polisi anajua ni yepi wanaruhusiwa na zipi sio behaviour sahihi.
Mbona wa ccm wanasindikizwa kuchukuwa fomu lkn hawakamatwi??!Hivi mtu anashindwa kwenda kuchukua form zake taratibu aondoke mpaka akusanye watu kibao aende nao?
Ha ha ha... wamekukinai vilivyo mkuu. Ila kumbuka wanatumwa hao. Watumaji wapo kimyaaa. Juzi kule kwa PM watia nia wa upinzani walitekwa kimya kimya usiku wa mananeMimi polisi hata awe ndugu yangu wa damu sitakaa
1.Nimchangie harusi
2.Sitakaa niende msiba wa polisi
3.Sitakaa nimzike
4.Sitakaa nimkope hata kama nahakika anakufa mama yake
5.Sitakaa nimpangishe
ANGALIZO: Sitakaa nivunje sheria kwenye kuwadeal ikiwemo kutowatukana ,kutowaua ,japo siwezi kuahidi sitowaombea mabaya
Zamani nilikuwa nikisikia watu wanajitoa muhanga nashangaa Sana. Kwa ccm wapo bize wanatengeneza mazingira hayo TzRais wakati anaenda kuchukua fomu yale maandamano yake yalifuata sheria gani?
Dah, Inaumiza Sana. Unajua mchawi unaloga linageuka simbili.Huyo askari mbona ni kituko, badala ya kufanya kazi yake anaanza kufanya personal attacks; kwamba "nisije nikakuvunjia heshima ambayo kwanza huna".
Walikuwepo akina Iddy Amini dada, Abacha, Albashiri, Bokasa, Gadafi, Sadam Hussein, mabutu, chiluba na wenzao leo hii wapo wapi? Hakuna mabaya yasiyo na mwishoHa ha ha... wamekukinai vilivyo mkuu. Ila kumbuka wanatumwa hao. Watumaji wapo kimyaaa. Juzi kule kwa PM watia nia wa upinzani walitekwa kimya kimya usiku wa manane
Kilatha, sijui kwa nini unashinda humu ukitetea mambo ya kijinga. Tukishaingia kwenye kipindi cha uchaguzi mkuu, kanuni reja reja zilizowekwa katika mazingira tofauti kuwekwa kando.Haya una akili sana wewe, nina uhakika Lissu awezi kurudia tena kusema hakuna inayozuia mikusanyiko.
HAKUNA sheria iliyo juu ya Katiba, na Katiba inaruhusu maandamanoSheria inasema mikusanyiko inataka kibali cha polisi; ndio maana nikasema ni kucheza kamali nao usipoomba kibali linabaki swala la utashi.