DOKEZO Mbeya: Kemikali za kuivisha Ndizi zimehamia katika matunda mengine, Wataalam wa Afya watueleze kama ni salama

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Aisee ni hatari sana, ndo maana Kuna ongezeko kubwa sana la wagonjwa wa kansa siku hizi.
 
Na bado mnaletewa GMO
 
Tupo kwenye nyakati ambazo mimi, wewe na yule tukiwa na uhakika wa sisi na familia zetu kwenda chooni na kulipa ada basi nothing else matters even if it means keeping lives of our fellow Tanzanians at stake.
 

Walipoaanza kuita kilimo biashara ndiyo hapo mambo yalipo haribika.
 
Ndio Hali tulokuwa nayo Wafanya Biashara wamekuwa tamaa Matunda yote Yana huwa Yakima Machanga na hili jambo lazima Serekali ilitilie Umuhimu wa kulifatilia Sio kufatilia nyimbo tuu
 

from akili mtambuka ya GEMINI BY GOOGLE
This is for informational purposes only. For medical advice or diagnosis, consult a professional.
Ethylene is a colorless, flammable gas with a slightly sweet odor. It is a naturally occurring plant hormone that plays a crucial role in fruit ripening and plant growth. However, high concentrations of ethylene can be harmful to humans.
Here are some of the potential health effects of ethylene exposure:
  • Short-term effects: At high concentrations, ethylene can cause headaches, dizziness, nausea, vomiting, drowsiness, and loss of consciousness. In severe cases, it can lead to coma and death.
  • Long-term effects: Prolonged exposure to low levels of ethylene may increase the risk of cancer, respiratory problems, and heart disease.
Ethylene is a common industrial chemical, and it is used in a variety of products, including plastics, textiles, and food. It can also be released into the environment from natural sources, such as fruits and vegetables.
If you are concerned about exposure to ethylene, there are a few things you can do to protect yourself:
  • Avoid areas where ethylene is used or stored.
  • Ventilate areas where ethylene may be present.
  • Wear a respirator if you are working in an area with high concentrations of ethylene.
If you experience any symptoms of ethylene exposure, seek medical attention immediately.
 
Ufafanuzi Ulitolewa Na Mamlaka Tuendelee Kubugia Tu Haina MadharA
Ndugu Zangu Twafaa
 
Hahahahahaha
 
Kemikali za kuivisha Ndizi zimehamia katika matunda mengine, Wataalam wa Afya watueleze kama ni salama
Duuh,
Kwa hiyo matunda salama kwa sasa ni yale tu yasiyohitaji kuiva kama tango, ndimu, limao.

Aisee, tabu sana hii.

Kwa nchi kama China watu kama hao wananyongwa chap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…