Mbeya: Kijana wa Miaka 17 ahukumiwa kifungo cha nje Miezi miwili kwa kumbaka Mwanafunzi

Kama wote ni "watoto" kwanini tusiseme huyo wa kike ndiye amembaka huyo wa kiume na kujisababishia mimba?

Tuwe serious kwenye mambo mengine.
Sahihi kabisa, maana kwa kuangalia tu hapo Hiyo kesi imepelekwa kwa assumptions Zaid kwamba wa kiume ndio alibaka, Kwanin wasingefanya reversal assumptions???
 
Nijuavyo kosa la ubakaji halina dhamana achilia mbali kifungo cha nje halafu mwanafunzi
Mkuu kosa la ubakaji lina dhamana.

Kuhusu kifungo imetokana na mbakaji kuwa " under age". Yaani mtoto kabaka mtoto. Ijapokua ningekua hakimu ningemfunga hata miaka miwili jela ya watoto!
 
Hii hukumu sijaielewa miezi 2 na faini 200k kivipi?
Ubakaji si miaka 30 kweli

Au mi nimeelewa vibaya
 
Nawaza tu hapa huyo mtiaji mimba angekuwa ni mwalimu!! Watu wangevurugwa kweli kweli!

Huyu tunahesabia ni ujinga wake tu. Ni sawa kunguru wakiwa wanaruka halafu mmoja kamnyea mwenzake. Huwezi kumsifia kwamba ana shabaha au kumlaumu kwamba ni mpumbavu.
 
Nani alitengeneza hizo sheria na kwa makusudio gani? Kuwaruhusu wanawake kuwafanyia ubaki(child molestation) watoto wadogo au?
Inaweza kuwa kosa lingine kisheria lakini sio "ubakaji". Sheria za zamani hizi zinatambua ubakaji wa upande mmoja....
 
Mzaha huu
 
Aisee 🙌🙌🙌
Mkuu hatutumii hisia kufanya maamuzi, ni sheria ndo zilivyo. Mtoto wa miaka 17 ni "criminally liable". Yaani unataka kusema vitoto vya miaka 15-17 vifanye makosa ya jinai halafu viachwe tu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…