Mbeya: Kiongozi wa CHADEMA ajeruhiwa kwa risasi na watu wasiojulikana

Status
Not open for further replies.

Alfu Lela Ulela

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
1,255
Reaction score
77
Katibu Mwenezi wa CHADEMA Wilaya ya Mbeya Vijijini, Jackson Mwasenga ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mzalendo kijiji cha Ndola mjini Mbalizi amepigwa risasi na watu wasiojulikana na kujeruhiwa maeneo mbalimbali ikiwemo mkononi.

Akizungumza na mwandishi wetu akiwa katika Hospitali ya Mbalizi Ifisi akipata matibabu baada ya kupigwa risasi amesema hajui sababu ya kufanyiwa ukatili huo kwani hana ugomvi na mtu.

attachment.php

PIA SOMA
- Uelewa wangu juu ya kundi la watu wasiojulikana

~ Matukio ya Watu kupotea na wengine kudaiwa kutekwa, nini kinaendelea kuhusu usalama wa raia

- Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
 
Tulishaanza kuuana kutokana na udini. Hivi sasa tunakoelekea tutauana kutokana na tofauti za vyama. Hizi kauli na fitina zinazofanywa na akina Mwigulu Nchemba na Nape Nnauye dhidi ya vyama vya upinzani zitatupeleka kwenye majanga makubwa kama tunayoanza kuyaona kwenye udini. Zile video mlizotengeneza akina Nape, plus kauli zenu za kuita vyama vingine kuwa ni vya kigaidi, ni za hatari sana.

Baada ya mambo kwenda kombo tutawasikia akina Kikwete wakisimama na kusema "kwa muda mrefu tulivumiliana katika siasa za vyama vingi, sasa leo tumepatwa na nini"..., huku akisahau kwamba akina Nape na Mwigulu wanahubiri kauli za magaidi na matusi dhidi ya binadamu wengine waliopo upinzani na wanaendelea kuchekewa. Fanyeni siasa za kistaarabu akina Nape na Mwigulu. Wahurumieni watanzania, wanawake na watoto watakaoteseka baada ya nchi kuchafuka.
 
Last edited by a moderator:

Wise say.
 
Umenena vyema kaka.
 
Last edited by a moderator:
Katibu mwenezi wa chadema
wilaya ya mbeya vijijini Jackson
Mwasenga ambaye pia ni
mwenyekiti wa Kitongoji cha
Mzalendo kijiji cha Ndola mjini
Mbalizi amepigwa risasi na watu wasiojulikana na kujeruhiwa maeneo mbalimbali ikiwemo mkononi.

Akizungumza na mwandishi wetu akiwa katika Hospitali ya Mbalizi Ifisi akipata matibabu
baada ya kupigwa risasi amesema hajui sababu ya kufanyiwa ukatili huo kwani hana ugomvi na mtu.
Njia ile ya kwenda UZIMANI/Mbinguni ina vikwazo na misukosiko mingi,miba na pia ni nyembamba. Atakaye kuipita njia ile lazima atakutana na maswaibu na majaribu mengi. Inakubidi kukaza mwendo na kukata shauri kuipita njia ile. Kwa Imani tutafika pamoja na haya yote.:ballchain:
 
JF kweli imeingiliwa na watu wasio na maono ya mbali jiulizeni kwanini amepigwa risasi? Is it a true story? Source? Picha yeyote? Taarifa zozote za kiintelligencia? Huenda habari siyo ya kweli au alikuwa jambazi? Au alidhulumu? Au amepigwa na majambazi? Au anatuhumiwa kupora wake wa watu km babu yake? Then unapost ujumbe wk sio kiongozi wa CDM basi amepigwa kwasababu ya kisiasa tena mwenyejikiti wa kitongoji? Acheni siasa za maji taka pekekeni mambo yenu ya kusadikika FB
 
Pole kwa kamanda Jackson

Sikupi pole maana sina uhakika na thread yenyewe haina source wala picha. Mie sie mtu wa kukurupuka kupost ujinga. Inawezekana ulikuwa jambazi mkubwa. Km kweli basi Mungu amekulipa hapahapa duniani km maandiko matakatifu yasemayo
 
nani amwokoe?
Afadhali ya CCM kuliko CDM wamuulize Wangwe..na Kibanda na yule wa Igunga muliyekamwagia tindikali. Kuna ukatili mkubwa duniani kama wa kupora mke wa mtu? Tena mchana kweupe? Si babu yenu huyo....nikisikia anakuja tunafungia wake zetu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom