Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaa!! ilikuwa wapi? muda gani? alikuwa anatoka wapi? Alikuwa na nani? at least nikijua hayo ndiyo ninaweza kuchangia. Mijitu mingine naturally huwa inakuwa mizinzi au mijambazi halafu inaingia kwenye siasa kuficha dhambi zao. Politics isnt everything :mvutaji:Katibu Mwenezi wa CHADEMA Wilaya ya Mbeya Vijijini, Jackson Mwasenga ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mzalendo kijiji cha Ndola mjini Mbalizi amepigwa risasi na watu wasiojulikana na kujeruhiwa maeneo mbalimbali ikiwemo mkononi.
Akizungumza na mwandishi wetu akiwa katika Hospitali ya Mbalizi Ifisi akipata matibabu baada ya kupigwa risasi amesema hajui sababu ya kufanyiwa ukatili huo kwani hana ugomvi na mtu.
Lema anasema hii ndiyo dhambi kubwa zaidi kuliko zote, "Uoga"Nafikiria kuachana na CHADEMA nimegundua kuwa Chadema ni hatari sana, kwasababu sina ulinzi wowote ngoja nihamie CCM.