Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JF kweli imeingiliwa na watu wasio na maono ya mbali jiulizeni kwanini amepigwa risasi? Is it a true story? Source? Picha yeyote? Taarifa zozote za kiintelligencia? Huenda habari siyo ya kweli au alikuwa jambazi? Au alidhulumu? Au amepigwa na majambazi? Au anatuhumiwa kupora wake wa watu km babu yake? Then unapost ujumbe wk sio kiongozi wa CDM basi amepigwa kwasababu ya kisiasa tena mwenyejikiti wa kitongoji? Acheni siasa za maji taka pekekeni mambo yenu ya kusadikika FB
Tulishaanza kuuana kutokana na udini. Hivi sasa tunakoelekea tutauana kutokana na tofauti za vyama. Hizi kauli na fitina zinazofanywa na akina Mwigulu Nchemba na Nape Nnauye dhidi ya vyama vya upinzani zitatupeleka kwenye majanga makubwa kama tunayoanza kuyaona kwenye udini. Zile video mlizotengeneza akina Nape, plus kauli zenu za kuita vyama vingine kuwa ni vya kigaidi, ni za hatari sana.
Baada ya mambo kwenda kombo tutawasikia akina Kikwete wakisimama na kusema "kwa muda mrefu tulivumiliana katika siasa za vyama vingi, sasa leo tumepatwa na nini"..., huku akisahau kwamba akina Nape na Mwigulu wanahubiri kauli za magaidi na matusi dhidi ya binadamu wengine waliopo upinzani na wanaendelea kuchekewa. Fanyeni siasa za kistaarabu akina Nape na Mwigulu. Wahurumieni watanzania, wanawake na watoto watakaoteseka baada ya nchi kuchafuka.
hapa kuna jambo ni yale yale yaliyoanza kufanywa na kina january makamba kule tanga na masasi! serikali ina maswali ya kujibu
hutumii kuchwa kufikiri. Video ya lwakatare ni halisi..kemea ugaidi na mauaji acha uzuzu
Mpeni pole kamanda wetu Mungu ampiganie apate nafuu, kuna nini mbona watu wetu waandamwa???Katibu Mwenezi wa CHADEMA Wilaya ya Mbeya Vijijini, Jackson Mwasenga ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mzalendo kijiji cha Ndola mjini Mbalizi amepigwa risasi na watu wasiojulikana na kujeruhiwa maeneo mbalimbali ikiwemo mkononi.
Akizungumza na mwandishi wetu akiwa katika Hospitali ya Mbalizi Ifisi akipata matibabu baada ya kupigwa risasi amesema hajui sababu ya kufanyiwa ukatili huo kwani hana ugomvi na mtu.
Alafu siku hizi tangu atuambie tumuombee kwani ana ushaidi mzito anataka utoa hadi mbinguni yupo kimya sana sijui kwa nini?