Mbeya: Kiongozi wa CHADEMA ajeruhiwa kwa risasi na watu wasiojulikana

Status
Not open for further replies.
Pole kamanda wabaya wako wanajulikana tu.
 

Kuna mahali umetaja taarifa za kiintelijensia!? my foot..!! They can kill us but they'll never stop us..!!
 
Mpaka sas hakuna kiongozi wala mwanachadema aliyethibitika au kuhisiwa na wananchi kufanya mauaji au kudhuru kwa ajili ya siasa lakini wana ccm na vyombo vya dola wanajulikana kwa mambo mabaya wanyowafanyia wanaohisi ni mapinzani wao.mbwambo na mwang
 
Punde tu na wao wataanza kufa, najua watapaniki sana lakini hakuna damu yenye thamani kuliko damu za watu wengine hivyo itakapo fikia zamu yao itabidi wawe wavumilivu.
 

hutumii kuchwa kufikiri. Video ya lwakatare ni halisi..kemea ugaidi na mauaji acha uzuzu
 
Last edited by a moderator:
hapa kuna jambo ni yale yale yaliyoanza kufanywa na kina January Makamba kule tanga na masasi! serikali ina maswali ya kujibu
 
hapa kuna jambo ni yale yale yaliyoanza kufanywa na kina january makamba kule tanga na masasi! serikali ina maswali ya kujibu

ni yale yale ya akina lwakatare na makada waliotaka kumuua mama yake zitto
 
hutumii kuchwa kufikiri. Video ya lwakatare ni halisi..kemea ugaidi na mauaji acha uzuzu

Kama ni halisi au sio "halisi" muulize Lamecki Maderu Nchemba, atakwambia... afu mbona povu umelishwa OMO..!?
 
Pole kamanda mabadiliko huwa hayaji kirahi bali huwa na shurba kama hizo
 
Dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana!
kwaniîkishatoka nje huingia hdi ndani ya familia
 
Mpeni pole kamanda wetu Mungu ampiganie apate nafuu, kuna nini mbona watu wetu waandamwa???

 
Hiyo itaongezeka tunavyoelekea 2015, lakini hakuna kukata tamaa. Pole Kamanda, ongeza spidi.
 
Alafu siku hizi tangu atuambie tumuombee kwani ana ushaidi mzito anataka utoa hadi mbinguni yupo kimya sana sijui kwa nini?

Jibu lipo hapo kwenye Bold, ukiomba maombi kwa Mung while unadhihaki watu ni kama kumfanya Mungu hayupo, lazima ajidhihirishe kua yupo na aibu yake hua ndio kama hiyo anayoipata sasa, napenda nimpe habari mbaya, mengi yatakuja zaidi juu yake na mauchawi yake hayatamsaidia!
 

Cheki picha yake hapo kwny hiyo link akiwa hospitali acha kutoka mapovu. Licha ya kuwa mwenyekiti wa kitongoji pia huyu ni katibu mwenezi wa wilaya so ni mtu mkubwa sana kwenye chama acha kudharau vyeo vya watu we mchumia tumbo.
 

Attachments

  • IMG-20130515-WA0002.jpg
    41.7 KB · Views: 588
ukombozi hauji kiraisi sana kamanda pole sana get well soon.
 

Nafikiria kuachana na CHADEMA nimegundua kuwa Chadema ni hatari sana, kwasababu sina ulinzi wowote ngoja nihamie CCM.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…