Mbeya kuna mtu anatengeneza hii kifaa msije sema sijawambia

Ameshatoa bei elekezi kikiisha? Anapokea oda mpya? Atakizindua lini?
 
Usishangae akina mariam biriani ndo watajaa humo
 
Hiyo ni Safina na baadhi wateule tumekwisha pewa tikiti za kupandia, buriani.
 
Huyo anajifurahisha tu maana Mungu aliapa hawezi kuangamiza wanadamu kwa gharika la maji tena.
Mungu hawezi tengua neno lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…