Mbeya kuna mtu anatengeneza hii kifaa msije sema sijawambia

Mbeya kuna mtu anatengeneza hii kifaa msije sema sijawambia

prophet_tz

Senior Member
Joined
Feb 14, 2022
Posts
176
Reaction score
302
Habarini za mda huu ndugu zangu, kule Mbeya wilaya ya Kyela kata ya Ipinda kuna mwamba anatengeneza hii kifaa kwasabu nimeona nikasema nije kuwaeleza ndugu zangu ili badaye tusije laumiana kusema cjawambia.

HAYA WATU WA MBEYA

UGONILE!

Screenshot_20220408-090230_Twitter.jpg
 
Usishangae akina mariam biriani ndo watajaa humo
 
Habarini za mda huu ndugu zangu ....kule mbeya wilaya ya kyela kata ya ipinda kuna mwamba Ana tengeneza hii kifaa kwasabu nimeona nikasema nije kuwaeleza ndugu zangu ili badaye tusije laumiana kusema cjawambia .... HAYA WATU WA MBEYA ...UGONILE!!! View attachment 2180118
Hiyo ni Safina na baadhi wateule tumekwisha pewa tikiti za kupandia, buriani.
 
Huyo anajifurahisha tu maana Mungu aliapa hawezi kuangamiza wanadamu kwa gharika la maji tena.
Mungu hawezi tengua neno lake.
 
Back
Top Bottom