Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Kwa hiyo mtu ambae anaweza kuwasaidia ni msomi tu kwa sababu Majimbo yote yenye wabunge wasomi yanaendelea sana? Mimi sijamtaja Sugu.Miaka 10 ya SUGU kafanya nn Mbeya zaidi ya kujineemesha binafsi? Show off mitandaoni. Huku Wapiga kura wamezungukwa na umaskini wa kutupa
Naona miaka 10 ya Ndugai huko Kongwa kafanya mema mengi sana mpaka akazomewa na wananchi mbele ya Rais.Miaka 10 ya SUGU kafanya nn Mbeya zaidi ya kujineemesha binafsi? Show off mitandaoni. Huku Wapiga kura wamezungukwa na umaskini wa kutupa
Huyo ambae si msomi Hakua msaada kwa waliomchagua miaka 10 mfululizo. Ndo maana tunataka Msomi sasaKwa hiyo mtu ambae anaweza kuwasaidia ni msomi tu kwa sababu majimbo yote yenye wabunge wasomi yanaendelea sana? Mimi sijamtaja Sugu.
Amandla...
Nazungumzia MbeyaNaona miaka 10 ya Ndugai huko Kongwa kafanya mema mengi sana mpaka akazomewa na wananchi mbele ya Rais.
Ujajitambua kweli wewe?Swali Ni kuwa Sugu ameleta maendeleo gani?
Yule anasura ya kiume,utafikiria mdogo wake na polepoleyule dental formula mbovu hawezi kuwa mbunge wa mbeya.
Sugu apumzike. Apishe wasomi waongoze jimboUjajitambua kweli wewe?
Tangu mwaka 1995 mpaka 2010 mlikuwa na wabunge CCM mlipata maendeleo yapi ukitogautisha na sasa?...
Mbunge gani kapeleka maendeleo jimboni kwake? Mbunge anakusanya kodi?Swali Ni kuwa Sugu ameleta maendeleo gani?
Okay. Ni wakati Sasa Sugu apishe ili Mbeya ifaidi maendeleoMbunge gani kapeleka maendeleo jimboni kwake? Mbunge anakusanya kodi?
sheria inasema mbunge ajue kusoma na kuandika.Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.
Kila la heri watia nia.
AsanteKwa Mbeya (M) Tulia amepita hakuna ubishi
Elections 2020 - Mr Sugu hashikiki Mbeya Mjini , Mahasimu wake washikana uchawiKwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.
Kila la heri watia nia.
Hapa sasa ndio umeonesha rangi yako halisi. Asante kwa kutufahamisha.Mbeya inakwenda kuweka historia. Mgombea kupita bila kupingwa