Uchaguzi 2020 Mbeya (M) tunataka Mbunge Msomi

Uchaguzi 2020 Mbeya (M) tunataka Mbunge Msomi

Miaka 10 ya SUGU kafanya nn Mbeya zaidi ya kujineemesha binafsi? Show off mitandaoni. Huku Wapiga kura wamezungukwa na umaskini wa kutupa
Kwa hiyo mtu ambae anaweza kuwasaidia ni msomi tu kwa sababu Majimbo yote yenye wabunge wasomi yanaendelea sana? Mimi sijamtaja Sugu.

Amandla...
 
Mbeya inakwenda kuweka historia. Mgombea kupita bila kupingwa
 
Kwa hiyo mtu ambae anaweza kuwasaidia ni msomi tu kwa sababu majimbo yote yenye wabunge wasomi yanaendelea sana? Mimi sijamtaja Sugu.

Amandla...
Huyo ambae si msomi Hakua msaada kwa waliomchagua miaka 10 mfululizo. Ndo maana tunataka Msomi sasa
 
Swali Ni kuwa Sugu ameleta maendeleo gani?
Ujajitambua kweli wewe?

Tangu mwaka 1995 mpaka 2010 mlikuwa na wabunge CCM mlipata maendeleo yapi ukitofautisha na sasa?

Je, wewe ni miongoni mwa mnufaika wa T - Foundation hapo Mbeya nini?

Brother ukipewa hela chukua hiyo ni yako. Kumbuka kazi ya Mbunge ni kuisimamia serikali na kutunga sheria. Rejea tozo za maiti katika hospitali na case study ya dogo hapo mbeya namna mbunge wako alivyoisimamia serikali na imeleta impact nchi nzima.

Karibu.
 
Kwa aina ya Serikali na Bunge la sasa na aina ya wasomi wetu nafasi ya ubunge ni ceremonial tu.
 
Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.

Kila la heri watia nia.
sheria inasema mbunge ajue kusoma na kuandika.
au unataka kutunga sharia mpya.
pumbavu kabisa
 
Tz wasomi ndiyo walioua viwanda vilivyoanzishwa na JK Nyerere,na sifa ya Tz kuwa mbunge ni kujua kusoma na kuandika tu
 
Back
Top Bottom