Msomi ni Nani? Majimbo mawili ya mkoa wa mbeya yalikuwa yanaongozwa na wabunge wasomi yaani maprofesa! Hebu tutajie maendeleo yaliyopo Jimbo la rungwe na kyela!Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.
Kila la heri watia nia.
Na bado atashinda!Binafsi sikumchagua SUGU 2015 pia mwaka huu sitamchagua tena
Msomi ni Nani? Majimbo mawili ya mkoa wa mbeya yalikuwa yanaongozwa na wabunge wasomi yaani maprofesa! Hebu tutajie maendeleo yaliyopo Jimbo la rungwe na kyela!
singida, mbeya kote kumekosa maendeleo mda mrefu sana , sasa mda umefikaKwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.
Kila la heri watia nia.
Huyo Tulia atakuletea chakula mezani kwako?Sisi wengine tunasema CCM miaka zaidi ya 60 bado wananchi ni masikini,bora tuchague chama kingine kiendeleze pale CCM ilipoishia!Hata sisi wanachama tunamshangaa mwenzetu huyu. Bora nimpigie kura Dr. TA (PhD)
Ila elimu sio kua kiongozi mzuri tz kwa Sasa inataitaji mbunge au wabunge wa kuisimamia serikali,ili selikari iliyoko madarakani itekeleze wajibu wake kwa wananchi, mfano yupo msukuma pamoja na Mambo mengine ila bungeni pa kusifia au kuponda hufanya na anafanya vizuri bungen kuliko wenye degree zao, yupo kishimba Yule elim yake ya kawaida ila anatoaga nathalia za kufikirisha Sana that's anaitwa professor,Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.
Kila la heri watia nia.
Kwa hiyo mtu ambae anaweza kuwasaidia ni msomi tu kwa sababu Majimbo yote yenye wabunge wasomi yanaendelea sana? Mimi sijamtaja Sugu.
Amandla...
Wanini wakati mwanamke mweusi hasikilizwi?Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.
Kila la heri watia nia.
Wewe na Usomi wako umelifanyia nini taifa lako zaidi ya kulipwa buku 7 kuja kumchafua sugu?Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.
Kila la heri watia nia.
Kukosa kwako elimu ya uraia ndo kunakufanya uwe na akili mgando kiasi hicho.Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.
Kila la heri watia nia.
Kwani wewe ni wa Mbeya?Hivi kuna uhusiano wowote Kkati ya Mbeya na Kagera?
Kwa hiyo ulitaka awape pesa mifukoni mwenu?,Je huyo sijui ndo Tulia,atawaletea pesa mifukoni?.Miaka 10 ya SUGU kafanya nini Mbeya zaidi ya kujineemesha binafsi? Show off mitandaoni. Huku Wapiga kura wamezungukwa na umaskini wa kutupa
Mtu hua hapangi kuota, endelea!Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.
Kila la heri watia nia.
Inferiority complex at work!Wabunge hawa wakishindwa ntafanya sherehe kubwa sana
- Lema
- Mdee
- Sugu
- Heche
- Bulaya
Sababu za kufanya sherehe, hawa wabunge wanajifanyanga wana akili sana kuliko mtu yoyote kitu ambacho sio kweli na ni mabingwa wa kuropokaropoka
huyo Tulia kafanya nini hapo Bungeni km Naibu hata alipokuwa BandariMiaka 10 ya SUGU kafanya nini Mbeya zaidi ya kujineemesha binafsi? Show off mitandaoni. Huku Wapiga kura wamezungukwa na umaskini wa kutupa