Uchaguzi 2020 Mbeya (M) tunataka Mbunge Msomi

Uchaguzi 2020 Mbeya (M) tunataka Mbunge Msomi

MTUELEZE KWANZA JIMBO LA KYELA LILILOONGIZWA NA WASOMI LINA MAENDELEO GANI
 
Sugu ameirudisha nyuma Mbeya kimaendeleo Kwasababu ya kukosa elimu
Msomi huyo aende chuo kikuu akazalishe wasomi wengine,aachane na siasa kwani haihitaji wasomi wengi.
Wanafuata maslahi wala siokama wengi wao wanaipenda siasa
 
Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.

Kila la heri watia nia.
Kwani bungeni wanaenda kusoma?Mbona kuna wabunge wa CCM wasomi lkn wamejitoa ufahamu kazi ya ni ndiyooooooo.
 
Back
Top Bottom