Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atashinda kwani tumeshapiga kura? Wewe Ni Tume?Na bado atashinda!
Kumbe unaumia sugu anavyoshinda, kwa taarifa yako sugu ndio mbunge aliyepata kura nyingi dunianiBinafsi sikumchagua SUGU 2015 pia mwaka huu sitamchagua tena
Msomi huyo aende chuo kikuu akazalishe wasomi wengine,aachane na siasa kwani haihitaji wasomi wengi.Mbeya tunaenda na msomi Tulia
Msomi huyo aende chuo kikuu akazalishe wasomi wengine,aachane na siasa kwani haihitaji wasomi wengi.
Wanafuata maslahi wala siokama wengi wao wanaipenda siasa
Kwa hiyo Kibajaji na Msukuma tusiwachague?Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.
Kila la heri watia nia.
Betin hapati ubunge. Labda akagombee Rungwe. Mizimu na Wazee wa Kisafa wameshamkataaMbeya tunaenda na msomi Tulia
Betin hapati ubunge. Labda akagombee Rungwe. Mizimu na Wazee wa Kisafa wameshamkataa
Kwani tume ndiyo inayojua nani atashinda kabla ya kupiga kura?Atashinda kwani tumeshapiga kura? Wewe Ni Tume?
Mwakyembe wa degree nne kawaletea nini.Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.
Kila la heri watia nia.
Tuandikie hiki ulochoandika hapa kwa kiingerza tukupime kiingereza chako na wewe tuone.Kumbe Sugu hana tofauti na Mwenyekiti wake? Namsikiaga na kiingereza chake kimoja tu cha 'Numbers don't lie'
Mbeya tunaenda na msomi Tulia
Kwani bungeni wanaenda kusoma?Mbona kuna wabunge wa CCM wasomi lkn wamejitoa ufahamu kazi ya ni ndiyooooooo.Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.
Kila la heri watia nia.