WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Kwa hiyo sasa hivi Mbeya hakuna shida ya Umeme,Barabara,Usalama,chakula,bei za bidhaa kupanda,nauli,shule na magonjwa mbalimbali.maendeleo kama yote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo sasa hivi Mbeya hakuna shida ya Umeme,Barabara,Usalama,chakula,bei za bidhaa kupanda,nauli,shule na magonjwa mbalimbali.maendeleo kama yote
Ukabila tu unawasumbua hakuna lolote.Na soon tunakwenda kuushangaza ulimwengu
maendeleo kama yote
Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.
Kila la heri watia nia.
Uvccm mmejazana kubweka hapaKimbaumbau wangu hapa njia nyeupe, na hii itafanya watu wapunguze dharau. Dada yangu mwili mdogo kichwa Scania tena na mtoto. Oyeeee Dr. Tulia Ackson.
Rudi mjengoni ukachape kazi. Muda mrefu Mbeya tunajua Sugu harudi Mjengoni.