Mbeya: Mahakama imeahirisha kusoma hukumu ya Mdude Nyagali hadi Juni 28, 2021

Mbeya: Mahakama imeahirisha kusoma hukumu ya Mdude Nyagali hadi Juni 28, 2021

Dunia ndio ilivyo....

Ila picha inachanganya sana barakoa + halafu kushikana mikono...

Enewei ni siasa ngoja tutulie
 
Siasa za visas na chuki ndio zimemuumiza kijana huyo aliyekuwa maabusu...Niombeee Mwendazake Daah! Wengi bado hawaamini alishaenda...
Ukweli mnaufahamu lakini hamtaki kuusema, tatizo ni kutukana matusi viongozi wa nchi kwa kisingizio cha haki ya kukosoa.

Hakuna haki isiyokuwa na mipaka, huwezi kumkosoa Rais wa nchi kwa kumtukana matusi, mtu mwenye umri sawa na baba yake, hiyo siyo haki ni upumbavu. Kwa hiyo mwacheni tu afundishwe adabu.
 
Kwani kapigwa mvua ngapi? Akitoka aachane na hiyo biashara ya Ngada.
 
IMG_20210614_115952.jpg

1623722290488.png

Wamekumbuka kusali siku ya hukumu.

Hawako organized kabisa.

Walitakiwa wawe na makalenda ofisini na majumbani mwao wamuwahi kumuombea hakimu ili Mungu amtangulie kabla hajaandika hukumu. Hapa labda shetani kesha mtangulia hakimu.
 
Back
Top Bottom