Mbeya: Mahakama Kuu yatoa baraka Uwekezaji wa DP WORLD Dubai Bandarini. Walalamikaji wajipanga kukata Rufaa ya Hukumu

Itangazwe wazi tu ni marufuku kwa serikali kushtakiwa mahakamani kwa jambo lolote itakalofanya kuliko kupoteza muda na fedha bure,hii hukumu kila mtu alishaijua kilichokuwa kinasubiriwa ni kusomwa rasmi na majaji.
 
Hukumu inajulikana. Serikali inashinda. Hatuna mahakama tuna kusanyiko la Shyster Judges, takataka

Solution ni mapambano, si takataka eti mahakama.

Mungu wa Kike Saa 100 awabariki
Ohoo! Akikubana mbupu ulie lie🀣
 
Tanzania ni mbwa Kwa Kila jambo hukumu rubbish, Mahakama rubbish majaji rubbish
 
Itangazwe wazi tu ni marufuku kwa serikali kushtakiwa mahakamani kwa jambo lolote itakalofanya kuliko kupoteza muda na fedha bure,hii hukumu kila mtu alishaijua kilichokuwa kinasubiriwa ni kusomwa rasmi na majaji.
Kesi ya Ngedere usipeleke kwa Nyani mkuu.
 
Samia mpenda maendeleo bahati mbaya hapa TZ kakutana na akili nyingi za kishamba.
Kabisa kabisa, halafu watu wanauliza kwanini ni masikini. Khaa!


Rais wa kwanza Tanzania kuwapa raia zake vijana, ardhi kuanzia eka mbili mpaka 10, bure kabisa, na miundo mbinu ya umwagiliaji anawawekea bure kabisa. Haijawahi kutokea, siyo Tanzania tu, hata duniani huko.

Tushindwe wenyewe, lakini kwa mama Samia tumepata Rais.
 
Itangazwe wazi tu ni marufuku kwa serikali kushtakiwa mahakamani kwa jambo lolote itakalofanya kuliko kupoteza muda na fedha bure,hii hukumu kila mtu alishaijua kilichokuwa kinasubiriwa ni kusomwa rasmi na majaji.
Kesi ya Kimataifa unataka iamuliwa na taifa mojawapo la kwenye mkataba?


Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
As observed from the submissions, parties are diametrically opposed to one another on this aspect. The unanimous view of both sides, however, is that the IGA is not a Contract.

Reasons for such contention are varied, and we propose to get to the heart of this discussion.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯πŸ”₯

Wanasheria wa Kenya mkuje mtusaidie au namna gani wajameni?!!
 
Mpambano kati ya Chief Mwambukusi vs Chief Hangaya.

Tanganyika kataa uwekezaji wa kitumwa simama na Chief Mwambukusi
Tanzania inasimama na Mh.Rais na Serikali take sio wapiga kelele ambao wanatafuta umaarufu wa kukua kisiasa.
 
Toa basi na ushauri wako ni njia gani watu wapite ili kuondokana na hayo
Tuidai Katiba mpya bora mpaka ipatikane !! Bila hivyo itabaki ni abracadabra kila mara !!
Hata Nyerere alionya kwamba hii Katiba imempa Rais madaraka makubwa sana sana !!
 
Sasa hiyo IGA kama sio mkataba kwa nini kuna vifungu vya kupelekana kwenye mahakama wakati wa kutofautiana utekelezaji?
Hii issue iende rufaa mahakama ya rufaa tuone huko nako itakuaje.
 
Hukumu ya kisanii, majaji wanataka vifungu vyenye makosa virekebishwe, badala ya kutoa amri waseme ule mkataba wa IGA ni batili, hii ngoma lazima iende mbele zaidi, wajinga wacha waendelee kushangilia wasichokijua.
mnao pinga huu uwekezaji ni kwamba mmezoea wizi ukwepaji kodi na kila ana ya hujuma zifanywazo bandarini hivyi mnaona kabisa kiama chenu kinakuja mtakosa ulaaji kaeni kimya dawa iwaingieeeeeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…