LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
we boss la dp world koma, tunataka bandari zetu usituletee usultani wako hatutaki. Fahamu kuwa huo mkataba tutauvunja hatutaki ukoloni mpevu sisi ni taifa huru linalojitambua na kulinda rasimali zake kwa nguvu zoteNashukuru sana mihimili yote ya taifa kuridhia kunipa bandari na kunipa uhuru wa kufanya mambo yangu bila bugudha.
Nawashukuru ndugu Kitenge, Zembwela, Mwijaku na wanahabari wasomi wengine.
Ndugu Mwabukusi pia nakushukuru, unafaa kuwa wakili wangu binafsi.