Mbeya: Mahakama Kuu yatoa baraka Uwekezaji wa DP WORLD Dubai Bandarini. Walalamikaji wajipanga kukata Rufaa ya Hukumu

Kwa nchi hii wenye mamlaka hata wakiamua kuanza kuuza raia mmoja bada ya mwingine bado mahakama itabariki
 
Kama kutenge kapewa $50,000
Je majaji wale?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wale wanzetu pingapinga gang, wenye chuki zenu dhidi ya Mama Samia na jitihada nzuri anazofanya, kama mlivyosikia mmepigwa za uso vibaya sana pale Mahakama Kuu Mbeya.

Kwa kifupi maamuzi ya Mahakama yanathibitisha maneno ya Prof Asad kuwa mna uelewa mdogo wa mambo.

Sasa swali langu kwenu. Baada ya kupigwa kipigo cha mbwa mwizi Mahakamani sasa hivi mnahamia kwenye jambo gani ili muendelee kuonyesha ujinga wenu?
 
Wapo hoi kabisa
 
🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
 
Bandari sio ya mama yake mtu ni ya serikali na ndiyo iloamua kuibinafsisha sasa sie kituume nn
 
Tunahamia kwako. Baada ya kubinafsishwa utafaidika nin [emoji706]
 
Tunawasubiri 2025 tuwafyeke
 
Niger jeshi limefanya mapinduzi ya serikali. ECOWAS inasema mapinduzi hayo ni haramu na inapanga kuingilia kijeshi kumrudisha madarakani rais aliyepinduliwa. Wananchi wanaandamana kuunga mkono mapinduzi.
Kinachoonekana ni kuwa wakati rais aliyekuwa madarakani anafanya makosa dhidi ya raia wake, ECOWAS ilkaa kimya, ikimlinda rais mwenzao. Jeshi lilipofanya mapinduzi ndipo UCOWAS inastuka kutaka kumrudisha mwenzao madakabi, wananchi wanasema hapana tunaunga mkono mapinduzi.
Linganisha taarifa hii na hukumu ya leo
Dola ni Serikali, Bunge, na Mahakama, muungano huo ...
 
Ila mnaionea mahakama bure.Mbona hukumu ni nzuri tu.Wamereason,wameobserve ubovu baadhi ya maeneo,wanasema ubovu unarekebishika.Na mengine wameona na kusema ukweli wa kisheria kuwa hawana mamlaka ya kuingilia bunge.Illegality wameiona kwa kiwango kilichoelezwa.
Kimsingi,kwa maneno ya mahakama mihimili miwili iliyotajwa kwenye hukumu hii wamepewa ujumbe ambao bila shaka watautafakari.Hii kesi ni win win ukiisoma vizuri!!
 

Ndiyo maana kesi zinazoamriwa huku bongo zikienda kwenye mahakama za kimataifa zinatupiliwa mbali dhidi ya maamuzi ya huku bongo!
 
Ndo maana WaKenya wanatutukana sana watanzania..

Kwamba kuna watu walitarajia kitu tofauti.

Katiba yetu ya Kusenge..
 
Mwakabusi na genge lake watafute shughuli nyingine ya kufanya hawajawai kuwa na hoja toka mwanzo, kuliko kwenda kupoteza muda wa mahakama na mambo ya appeal au ndio mbinu za kuchangisha watu hela huku wakijua wazi awawezi shinda.

IGA ni statute law baada ya ratification, na statute law mpya inapokindhana na sheria iliyopo tayari, kwa kanuni za ‘implied repeal rule’ sheria mpya itatumika kama tafsiri mpya.

Bado tena kwa kanuni za ‘Lex specialis’ (sheria inayozungumzia specific matters) na ‘Lex generalis’ (sheria inayozungumzia general matters). Hizo sheria mbili zinapokinadhana, sheria inayozungumzia specific matters supersedes sheria inayozungumzia general matters.

Wakiitisha michango tena kwa sababu ya kesi ya appeal hukuwakitambua awawezi shinda ni kuwatepeli tu watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…