Mbeya: Mahakama Kuu yatoa baraka Uwekezaji wa DP WORLD Dubai Bandarini. Walalamikaji wajipanga kukata Rufaa ya Hukumu

Huu mkataba unaligawa Taifa lenu, wananchi wengi hawautaki, na hao ndio wenye nchi, hata Kama mkataba ungekuwa hauna shida ila wenye nchi wameukataa
Kwani mkataba wa ushirikiano wa Uganda na Tanzania kwenye Bomba la mafuta wananchi walishirikishwa na kuukubali? Mbona ulisainiwa?
 
Katiba ndio sheria mama katika Nchi !
Tujiulize Katiba ipo sawasawa ??!!
Tusiwe na mihemko ya kutufanya kulaumu watu na vyombo vya sheria !!
 
Umewasomaji majaji? Wamesema wapi hakuna vifungu vilivyokuwa?

Jitahidi kuwasoma vyema; kwa kukusaidia wamesema wamefungwa mikono kuhoji bunge na mapungufu ya sheria
Mapungufu ya sheria maana yake ni kwamba shida ipo kwenye Katiba !!
Watu wenye mihemko tunawaambia tatizo sio watu na nyadhifa zao bali tatizo lipo kwenye sheria mama ambayo ni Katiba !! Hawataki kuelewa wanajifanya wajuaji na kuwaona wengine eti ni mastupid 😅😅 ! Shauri yenu bhana 🙏🙏🙏
 
Kuna sehemu umetafsiri sio
 
Kondoo anasafirishwa kwa meli kwenye nchi za kiarabu?haya mzee!
 
Acha uongo wako wewe mwanaccm.. Hayo maandamo mnayahofia kitu gani kama mko kihalali madarakani? Kama mnapendwa na wananchi yenu ni ipi? Kuandaa maandamo yameainishwa kosa kwenye sheria gani?
 
Acha uongo wako wewe mwanaccm.. Hayo maandamo mnayahofia kitu gani kama mko kihalali madarakani? Kama mnapendwa na wananchi yenu ni ipi? Kuandaa maandamo yameainishwa kosa kwenye sheria gani?
Shida ya ngozi nyeusi ni kwamba wengi watatumia hayo maandamano ya halali na amani kujinufaisha na kujipatia riziki kwa njia zisizo halale trace back maandamano mengi yaliyofanywa na nchi zetu za Afrika
 
Nipo nasikiliza NGOMA ya Fid q_siri ya mchezo...

Kuna line zinasema TANGANYIKA NI DEMU WA MTUNGO WANAMWITA CHA WOTE....

Anaendelea kusema KUUSAKA UKWEL NI SAWA NA KUMENYA VITUNGUU KILA GANDA.....LITAKUTOA MACHOZI NA UTABAKI MACHO JUU......

UKISHA FIKA KWENYE KIINI..UNAGUNGUA..NA UTAKUTANA NA MAFAILI YALIYO UNGANIKA JE UTAGHAIRI KUYAFUNUA....

Taifa la kondoo huongózwa na serikali ya Dubu...na Mbwa mwitu wenye hasira UBEPARI...

Kidumu chama Cha masela (CCM)

Mpak Sasa Tanganyika 0 Dp world 12
 
Nashukuru sana mihimili yote ya taifa kuridhia kunipa bandari na kunipa uhuru wa kufanya mambo yangu bila bugudha.

Nawashukuru ndugu Kitenge, Zembwela, Mwijaku na wanahabari wasomi wengine.

Ndugu Mwabukusi pia nakushukuru, unafaa kuwa wakili wangu binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…