Mbeya kwa sasa hivi CCM hata wakiiba kura zote mgombea wao yeyote kuanzia diwani, mbunge mpaka rais hawataweza kuwashinda. Uonevu unaoendelea majibu tayari wanayo vifuani, mioyoni na kwenye akili zao sio kijana, mzee au ajuza. CCM wahesabu kupoteza kila kitu Mbeya, Mwanza, Shinyanga, Simiyu,, Mara,, Arusha, Geita, nusu ya Dodoma itapotea, robo tatu ya Morogoro itapotea
Nawapa heko mawakili wasomi Mwakilima an Mwabhukusi kuonesha uzalendo wa hali ya juu sana kumtetea binti huyu anayetaka kuharibiwa maisha yake kwa mashitaka yasiyo na mantiki yoyote kisheria.
Ndio maana mwanzilishi wa somo la 'CRIMINOLOGY' alisema wazi kabisa kwamba waanzilishi wa makosa ya jina kupitia uchochezi , wizi, ufisadi, matumizi mabaya ya madaraka na dhuluma ni wanasiasa walioko madarakani