KERO Mbeya: Mkandarasi anayejenga barabara Isyesye atengeneze barabara za michepuko ili kuondoa kero tunazopata

KERO Mbeya: Mkandarasi anayejenga barabara Isyesye atengeneze barabara za michepuko ili kuondoa kero tunazopata

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
  • Tags Tags
    kero
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mbeya road.jpg
Mimi ni mkazi wa Isyesye Mbeya

Tunashukuru kwa maboresho ya barabara yanayofanyea na Serikali lakini tunaomba mumuelekeze Mkandarasi wa Kampuni ya Marmo kutengeneza barabara za michepuko (diversion ) kwani imeshakuwa kero kwa sasa kwani hajatengeneza barabara hizo na hazipitiki, tunapata shida sana.

Mkandarasi anafunga barabara pasipo kuweka alama za kuonyesha tunatakiwa kupita wapi matokeo yake tunapita vichochoroni kwenye njia zisizo rasmi.
 
Kwanza bara bara ilianza kujengwa tangu mwezi wa 8 mwaka jana
 
Back
Top Bottom