Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,318
Unataka umuuwe?
In God we Trust
Yu wapi Tumaini Makene?
In God we Trust
Yu wapi Tumaini Makene?
Kitila Mkumbo mwenye PhD kanunuliwa unataka tufanyeje ?
Wewe kijana una kipaji cha kujifariji, huku unalia machozi wakati huo huo unaleta hadaa unanikumbusha Chemical Ali
Bora huyu anajifariji kuliko
Wewe ni mnafiki unaeishi kwa kujipendekeza na machungu.
Kwani Cdm imesajiliwa kutompinga mh. Rais ?!.
Unajuwa kazi ya vyama vya kisiasa ?!.
Elimu yako ya uraia ni zero "O"
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili zako ni matope
Nataka kujua tu yuko wapi au ndio haridhishwi na mwenendo wa chama kaamua kukaa pembeni!
Nafikiri kila ukipata nafasi ya kufika nyegezi mshindo iringa!Wasiliana na mkeo isije kuwa Makene anaye chumba cha faragha[emoji43]
Wasiliana na mkeo isije kuwa Makene anaye chumba cha faragha[emoji43]
Dunia inakuona!Unataka umuuwe?
In God we Trust
Ni mpuuzi tu, tushamdharau zamani ErythrocyteWewe kijana una kipaji cha kujifariji, huku unalia machozi wakati huo huo unaleta hadaa unanikumbusha Chemical Ali
Kwani huyo jamaa ataruhusu majina yao yawepo kwenye karatasi za kupigiwa kura? Atawawekea mtego ili wakatwe na tume ya uchaguzi kama fitina za serikali za mitaa.Chadema walikosea kumpinga Magufuli Wananchi hatutawasamehe kwa hili lazima tuwakatae kwenye boks
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia inakuona!View attachment 1374722
Ni mpuuzi tu, tushamdharau zamani Erythrocyte
Chadema walikosea kumpinga Magufuli Wananchi hatutawasamehe kwa hili lazima tuwakatae kwenye boks
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kayaseme haya kwa wakulima wa korosho tuu uone kama utatoka salama!Chadema walikosea kumpinga Magufuli Wananchi hatutawasamehe kwa hili lazima tuwakatae kwenye boks
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia inakuona!View attachment 1374722
NIKO HAPA!Yu wapi Tumaini Makene?