Mbeya: Mkutano Mkuu Maalum wa CHADEMA Jimbo la Mbeya Mjini Wafana, mipango haramu yafichuliwa

Chadema walikosea kumpinga Magufuli Wananchi hatutawasamehe kwa hili lazima tuwakatae kwenye boks

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani huyo jamaa ataruhusu majina yao yawepo kwenye karatasi za kupigiwa kura? Atawawekea mtego ili wakatwe na tume ya uchaguzi kama fitina za serikali za mitaa.
 
Chadema walikosea kumpinga Magufuli Wananchi hatutawasamehe kwa hili lazima tuwakatae kwenye boks

Sent using Jamii Forums mobile app

Magufuli hategemei box la kura kuwa rais wa nchi hii, bali anategemea vyombo vya dola na tume isiyo huru ya uchaguzi. Ushindi wake ni wa kupita kwa figisu bila kupingwa. Kama huamini kamuulize Membe baada ya kuutaka urais huko ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…